admin
HAWA HAPA NYOTA WA SIMBA MIKATABA YAO INAMEGUKA
WAKATI ishu ya mkataba wa beki wa kushoto, mzawa Mohamed Hussein, 'Tshabalala' likizidi kufukuta ndani ya Simba inaelezwa kuwa kuna nyota wengi ndani ya...
YANGA : BADO HATUJAKATA TAMAA, TUTAZIDI KUPAMBANA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa licha ya kupoteza mchezo wao jana mbele ya Azam FC bado wana nafasi ya kufanya vizuri katika mechi zijazo...
MABOSI WA SIMBA KUJADILI OFA YA MANULA
BAADA ya mabosi wa timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kuzidi kuwa ‘siriaz’ na ishu ya kuipata saini ya kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula, uongozi wa Simba unatarajiwa kukaa...
USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO YA GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
USIPANGE kukosa nakala ya Championi Jumatatu, 800 tu
YANGA YAPOTEZA KWA KUFUNGWA BAO MOJA MBELE YA AZAM FC KWA...
AZAM FC leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa.Kipindi cha...
KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA YANGA
Kikosi cha Azam FC dhidi ya YangaMathias Kigonya Nico WadadaBruce KangwaDaniel Amoah Agrey Morris Ayoub Lyanga Mudhathir YahyaBraison RaphaelPrince Dube Yahya Zayd Idd Seleman AkibaWilbol MasekeAbdul HajiAbdallah KheriYakub Mohamed Never TigereIsmail AzizObrey...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AZAM FC KWA MKAPA
Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo chini ya Kocha Mkuu, Nassreddine Nabi 1.Faroukh Shikhalo2.Kibwana Shomari3.Adeyum Saleh4.Abdalah Haji5.Dickson Job.6.Mukoko Tonombe7. Deus Kaseke 8.Carlos Carlinhos 9.Michael Sarpong 10. Said Ntibanzokiza 11.Yacouba SongneAkiba MetachaBoxerMwamnyeto Niyonzima FeitotoNchimbiWazir
VINARA WA LIGI KUU BARA WATUA DAR NA POINTI TISA ZA...
BAADA ya kikosi cha Simba kukusanya pointi zake 9 kanda ya ziwa kimerejea Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mechi zake za...
MANE NA SALAH WAAMBIWA KWAMBA SIO WASHAMBULIAJI HALISI
MICHAEL Owen amesema kuwa nyota wawili wa Liverpool, Mohamed Salah na Sadio Mane sio washambuliaji halisi katika utendaji wao wa kazi ilikuwa ni mara...
YANGA V AZAM FC KWA MKAPA LEO KITAUMANA
REKODI zinaonesha kwamba, Oktoba 15, 2008, ilikuwa mara ya kwanza Yanga kukutana na Azam kwenye Ligi Kuu Bara ambapo matokeo ya mchezo huo, Yanga iliikaribisha vizuri Azam kwenye michuano hiyo kwa kuichapa mabao...