admin
MANCHESTER CITY YATENGA KITITA CHA MAANA KUIPATA SAINI YA KANE
KLABU ya Manchester City inataka kufanya mpango wa kutenga pauni 90m (Sh bilioni 281) kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane. Kocha wa...
YANGA NA SIMBA ZAPIGANA VIKUMBO KUPATA SAINI YA BEKI HUYU WA...
IMEELEZWA kuwa mabosi wa mitaa ya Kariakoo, Simba na Yanga wanapiga hesabu ya kuipata saini ya nyota wa Klabu ya Namungo, Edward Charles Manyama ili...
SIMBA YAWEKA REKODI YAKE BONGO
KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck imeweka rekodi ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa haijaruhusu bao la kufungwa ndani ya dakika...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI NI...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la SPOTI XTRA Jumapili, jipatie nakala yako ni jero
YANGA YATOA TAMKO KUHUSU ISHU YA UBINGWA WA LIGI KUU BARA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze amesema ikiwa wataendelea kupata matokeo mazuri katika kila mchezo wa Ligi Kuu Bara msimu huu basi hakuna...
KINACHOMTESA YACOUBA YANGA CHAWEKWA WAZI
JERAHA la mbavu alilolipata mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Yacouba Songne, limeendelea kuipa hofu Yanga juu ya uwezekano wa kukosa huduma za nyota huyo...
ALIYEMPELEKA SIMBA MORRISON YAMKUTA
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Elias Mwanjala imeelezwa kuwa amefungiwa na Serikali...
WAPINZANI WA SIMBA WAIPIGA MKWARA KIMTINDO,WASEMA HAWAWAOGOPI
KOCHA Mkuu wa Klabu ya FC Platinum Norman Mapeza amesema kuwa anawatambua wapinzani wake Simba vizuri hawampi presha atawasumbua ndani ya uwanja na kupata...
WAPINZANI WA SIMBA KUTUA LEO
WAPINZANI wa Simba FC Platinum wanatarajiwa kutua timu kwenye ardhi ya Bongo leo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa marudio dhidi ya...
SIMBA:TUNAFUZU HATUA YA MAKUNDI AFRIKA
KIPA wa Simba, Aishi Manula amefunguka kuwa kikosi chao kina nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao kwenye michuano ya Ligi...