admin
ISHU YA KUTOLEWA KWA MKOPO, WATANO SIMBA WAWEKA MGOMO
IMEELEZWA kuwa nyota watano wa Klabu ya Simba ambao wapo kwenye hesabu za kutolewa kwa mkopo wameugomea uongozi kusepa ndani ya kikosi hicho.Wachezaji wanaotajwa...
TANZANIA PRISONS YATAKA KUVUNJA REKODI YA YANGA
SALUM Kimenya, beki wa Klabu ya Tanzania Prisons amesema kuwa wanahitaji kuvunja rekodi ya Yanga kumaliza mzunguko wa kwanza bila kufungwa kwa kusepa na...
SIMBA YAPIGA HODI CAF KWA SABABU YA MASHABIKI
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum kila kitu kipo sawa kwa...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Uwanja wa Neson Mandela dhidi ya Tanzania Prisons kipo namna hii:-Metacha MnataKibwana ShomariYassin MustaphaLamine MroMwamnyeto BakariMukoko TonombeTuisila KisindaFeisal SalumFarid...
JEMBE LA KAZI LINALOKUJA YANGA HILI HAPA
IMEELEZWA kuwa wadhamini wa Klabu ya Yanga, kampuni ya GSM imedhamiria kumshusha Bongo mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Angers ya Ufaransa, Ferebory Dore.Nyota...
MKWANJA ANAOVUTA KAZE WAMPOTEZA SVEN WA SIMBA
UKIWEKA kando ishu ya kuwa namba moja ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya timu yake kucheza jumla ya mechi 17 na kibindoni kukusanya...
WATATU YANGA KUTOLEWA KWA MKOPO,WAWILI TAYARI MAMBO SAFI
CHIPUKIZI wa Yanga kutoka timu B, Adam Kiondo amejiunga na Klabu ya Ruvu Shooting kwa dili la miezi 6.Kiondo ambaye ni mshambuliaji aliyeanza kupewa...
VIGONGO VIKALI VYA KUFUNGIA MWAKA 2020
LEO Desemba 31,2020 yamebaki masaa kadhaa kwa Neema ya Mungu tuweze kufika mwaka mpya wa 2021.Ndani ya Ligi Kuu Bara kuna mechi ambazo zitachezwa...
WILFRIED ZAHA AINGIA ANGA ZA AC MILAN
IMEELEZWA kuwa Klabu ya AC Milan inayoshiriki Serie A inahitaji saini ya Wilfried Zaha wa Crystal Palace. Winga huyo mwenye miaka 28 amekuwa kwenye rada...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi