admin
KIUNGO WA SIMBA ATIBUA DILI LA NYOTA WA RWANDA KUTUA YANGA
JAMES Kotei, kiungo wa zamani wa Simba anatajwa kuingia kwenye rada za mabosi wa Yanga kwa ajili ya kumpa dili la kukitumikia kikosi hicho...
MASHABIKI WA SIMBA KUPIGA PICHA BURE NA KOMBE NI HASARA
NA SALEH ALLYWASWAHILI wanasema tembea uone, hakuna asiyelijua hili na kama umewahi kutembea, basi utagundua mgaagaa na upwa hali wali mkavu.HUu ukavu si lazima...
MTUPIAJI NAMBA MOJA KWA WAZAWA ATAJA KINACHOMKWAMISHA
MTUPIAJI namba moja kwa wazawa ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Yusuph Mhilu amesema kuwa isingekuwa majeruha angefunga mabao mengi na kuleta ushindani kwa...
BALAMA NA NIYONZIMA NDO BAS TENA MSIMU HUU NDANI YA YANGA
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema hatakuwa na huduma ya wachezaji wake wawili, Haruna Niyonzima na Mapinduzi Balama ndani ya Yanga mpaka msimu...
LUIS ATEMBEZA BONGE MOJA YA MKWARA KWA MABEKI
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone, raia wa Msumbiji, ni kama amewatangazia kiama mabeki wa ligi kuu kwa kuwaambia licha ya kwamba wanamfanyia faulo...
DAU LA KIUNGO ANAYEWINDWA NA YANGA ACHA KABISA, AKUBALI KUTUA
WINGA wa AS Vita ya DR Congo, Tuisila Kisinda, anahitaji Sh milioni 340 za Kitanzania, ili aavae jezi ya timu ya Yanga kwa msimu...
BAADA YA KUMPIGA MTU MKONO SASA AC MILAN WANA KIBARUA KINGINE...
BAADA ya kumalizana na Klabu ya Bologna Julai 18 kwa kuishushia kichapo cha mabao 5-1 sasa AC Milan ina kibarua cha kumenyana na Sassuolo...
YANGA YAINGIA ANGA ZA KIUNGO HUYU RASTA FUNDI
INAELEZWA kuwa Klabu ya Yanga ipo katika mpango wa kuinasa saini ya kiungo wa Kagera Sugar, Awesu Awesu ambaye amekuwa kwenye kiwango kizuri kwa...
KUKOSA NAFASI YA KUTINGA FAINALI, KIPA MANCHESTER UNITED APEWA ZIGO LA...
BEKI wa zamani wa Klabu ya Chelsea, Ashley Cole aliyekipiga ndani ya klabu hiyo msimu wa 2006/14 amesema kuwa kipa namba moja wa Manchester...
SIMBA YAMPA MILIONI 173 MORRISON, PANGA LAPITA YANGA, NDANI YA CHAMPIONI...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu lipo mtaani