admin
REAL MADRID YATWAA UBINGWA WA 34
REAL Madrid iliyo chini ya Kocha Mkuu, Zinadine Zidane imeshinda taji la La Liga la 34 baada ya ushindi wa mabao 2-1 mbele ya...
ASTON VILLA YAPOTEZA MATUMAINI KUBAKI NDANI YA LIGI ENGLAND
ASTON Villa inayoshiriki Ligi Kuu England ambapo nyota Mtanzania, Mbwana Samatta anakipiga imepoteza matumaini ya kubaki ndani ya Ligi hiyo baada ya sare ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MBAO FC YAINYOOSHA SIMBA MABAO 3-2 TAIFA DAR
SIMBA leo imebanwa mbavu mbele ya Klabu ya Mbao FC kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja...
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MBAO FC UWANJA WA TAIFA ALLY...
KIKOSI cha Simba leo dhidi ya Mbao FC, Ally Salim ndani
MTIBWA SUGAR YATAJA SABABU YA KUIMALIZA AZAM FC GAIRO
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa sababu kubwa iliyowapa ushindi jana mbele ya Azam FC ni kujituma kwa wachezaji wake ndani ya uwanja muda...
YANGA YAWEKEZA NGUVU ZOTE HUKU BAADA YA KUPOTEZA LIGI KUU BARA...
BAADA ya kushindwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amefunguka kwa sasa kitu pekee...
SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA MADAWA KWENYE VYUMBA PAMOJA NA AC
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unashangazwa na taarifa ambazo huwa zinaeleza kuwa timu hiyo huwa inamwaga dawa kwenye mechi zake pamoja na kudaiwa kupulizia...
MIKEL ARTETA ATAJA SABABU YA KUWATUNGUA MABAO 2-1 MABINGWA LIVERPOOL
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa ushindi walioupata wa mabao 2-1 mbele ya Liverpool ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu England umetokana...