admin
LEO AZAM FC KUKINUKISHA MBELE YA MTIBWA SUGAR, GAIRO PATAKUWA NI...
MUDHATHIR Yahaya, kiungo wa Azam FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara leo dhidi ya Mtibwa Sugar...
WACHEZAJI SIMBA WAKUNJA MKWANJA WAO LEO BAADA YA KUTINGA HATUA YA...
INAELEZWA kuwa wachezaji na benchi la ufundi la Simba leo wamepewa mkwanja wao wa milioni 380 ambao waliahidiwa kupewa kabla ya mchezo wa Kombe...
MTUPIAJI NAMBA MBILI LIPULI ANATIMIZA MIAKA KADHAA LEO
MTUPIAJI namba mbili ndani ya Klabu ya Lipuli, Daruesh Saliboko leo anasherehekea Siku ya kuletwa duniani huku akiahidi kuendelea kupambana kufikia malengo ya timu...
ISHU YA YANGA NA MORRISON IMEFIKIA HAPA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa suala la Bernard Morrison kiungo mshambuliaji kurejea ndani ya timu hiyo na kuwa Kwenye kikosi kitakachowavaa Singida United leo...
BAADA YA KUPANDA LIGI KUU DODOMA FC YATAJA WACHEZAJI ITAKAOPIGA NAO...
MBWANA Makata, Kocha Mkuu wa Dodoma FC ameweka wazi kuwa atabakia na asilimia kubwa ya wachezaji walioipandisha timu hiyo kwa kuwa wana uzoefu na...
TIMU 12 UWANJANI LEO KUSAKA POINTI TATU, CHEKI RATIBA ILIVYO, YANGA,KAGERA...
Leo Julai 15 Ligi Kuu Bara inaendelea Kwenye viwanja sita tofauti ambapo timu 12 zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Mtufuano mzima wa kusaka ushindi...
KATAKATA YAPITA YANGA,HUYO LUIS ANA BALAA, NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
YANGA YAWATAKA MASHABIKI KUSAHAU MATOKEO YA 4G MAISHA LAZIMA YAENDELEE
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa kwa sasa ni muhimu mashabiki kusahau kuhusu matokeo ya mchezo uliopita wa Kombe la Shirikisho dhidi ya...
CHAMA CLATOUS AFUNGUKIA ISHU YAKE YA KUIBUKIA YANGA
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa hana hiyana iwapo atahitajika kukipiga ndani ya Yanga kwani kazi ya mchezaji ni kucheza mpira.Chama amekuwa...
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA, VITA YA KUSHUKA DARAJA IMEPAMBA...
HUU hapa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mechi sita za leo kuchezwa huku vita ya kushuka daraja ikizidi kupamba moto.