admin
YANGA WATOA TAMKO KUHUSU BERNARD MORRISON
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa suala la Bernard Morrison kiungo mshambuliaji kucheza chini ya kiwango na kuondoka baada ya dakika 64 alizotumia...
BAADA YA KICHAPO …BEKI YANGA AMKUMBUKA ZAHERA..!!
BEKI wa kulia wa Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ amemtaja kocha Mwinyi Zahera, akidai kuwa ndiye kocha asiyeweza kumsahau maishani mwake, huku akitangaza kujipanga na...
SOLSKJAER: SARE NI KIPIMO CHA UWEZO WA WACHEZAJI WANGU
OLE Gunner Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa sare waliyopata jana kwa kufungana mabao 2-2 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi...
NAMUNGO FC YAIPIGIA HESABU SIMBA, WALIWASOMA WAKATI WANAPAMBANA NA YANGA
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa una kazi kubwa ya kupambana na Simba kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Agosti...
BAADA YA KUICHAPA YANGA JANA..BOCCO NA KAGERE WABEBA TUZO
MASTAA wawili wa Simba, Meddie Kagere na John Bocco wameula kwenye tuzo za wachezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa mwezi Machi na Juni.Kwa...
TSHISHIMBI – TUMEVUNA TULICHOPANDA KWA MORRISON
Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi amesema matukio ya kucheza katika kiwango duni kwa mshambuliaji wao Bernard Morrison ni makosa ambayo yametokana na mapungufu ya...
MTUPIAJI NAMBA MOJA MBAO FC AFICHUA KINACHOMBEBA
MTUPIAJI namba moja ndani ya Mbao FC iliyo chini ya Kocha Mkuu Felix Minziro, Wazir Jr amesema kuwa kikubwa kinachombeba ni kufuata maelekezo ya...
NAWAKUMBUSHA TU KUWA KUNA MAISHA BAADA YA SIMBA VS YANGA
NA SALEH ALLYUSIJALI nani alionekana bora au kushinda au kupoteza baada ya mechi ya jana ya watani Simba na Yanga.Unajua namna kulivyokuwa na tambo...
BOCCO APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA MWEZI JUNI
MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Juni wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20. Bocco ametwaa tuzo hiyo...
BREAKING:HERERIMANA WA KMC AWAPIGA CHINI SVEN NA ADAM
KOCHA Mkuu wa Klabu ya KMC, Hererimana Haruna amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/2020.Hererimana...