admin
YANGA WATUA DAR KAMILI GADO KUELEKEA MCHEZO WAO DHIDI YA SIMBA
KIKOSI cha Yanga leo kimerejea Dar es Salaam kutoka Kagera ambapo kilikuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Yanga ilishinda kwa...
MWINYI ZAHERA AIPA USHINDI YANGA MBELE YA SIMBA, JULAI 12
KUELEKEA kwenye mchezo kati ya Simba na Yanga wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho, Mwinyi Zahera aliyekuwa Kocha wa Yanga amesema...
SAMATTA AZUA JAMBO, SIMBA NA YANGA ZAONYESHANA UBABE DAR, KESHO NDANI...
Kesho ndani ya Championi Jumamosi usipange kukosa nakala yako
WAAMUZI WA MCHEZO WA NUSU FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO KATI...
KUELEKEA mchezo wa dabi utakaopigwa Julai 12, Uwanja wa Taifa hawa hapa waamuzi wa mchezo huo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la...
MUUAJI WA SIMBA APEWA JUKUMU LINGINE LA KUIMALIZA KWA MARA NYINGINE...
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kiungo wake mshambuliaji Bernard Morrison yupo tayari kuimaliza Simba kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali...
SIMBA QUEENS YAIPIGA MKONO YANGA PRINCESS
TIMU ya Simba Queens leo imeibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya wapinzani wake Yanga Princess kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake...
BAADA YA KUANZA KWA KUCHECHEMEA, COASTAL UNION YAZINDUKA
Jana Julai 9, timu ya Coastal Union ilisepa na pointi tatu Uwanja wa Sokoine kwa ushindi wa mabao 2-1.Mabao yote kwa Coastal Union yalijazwa...
ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA NI MOTO
DROO ya Hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imewekwa wazi, Barcelona huenda ikavaana na Bayern Munich na Manchester City ikavaana na Juventus. Ratiba hiyo...
UWANJA WA TAIFA KUWA NA MASHABIKI ELFU 30 SIMBA V YANGA
MASHABIKI watakaoruhusiwa kuutazama mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali, Julai 12 ni 30,000.Simba itakuwa uwanjani ikimenyana na Yanga kwenye mchezo huo...
DROO YA LIGI YA MABINGWA ULAYA IPO NAMNA HII
LIGI ya Mabingwa droo yake ipo namna hii hatua ya nusu fainali