admin
NYOTA MWINGINE, MTAMBO WA MABAO NDANI YA YANGA HATIHATI KUIKOSA SIMBA...
JUMA Abdul nahodha wa Yanga yupo kwenye hatihati ya kuwakosa wapinzani wao Simba kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali utakaopigwa Uwanja wa Taifa,...
SIMBA QUEENS YAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA PRINCESS LEO
MUSSA Mgosi, Kocha Mkuu wa timu ya Simba Queens amesema kuwa leo wanahitaji pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake utakaowakutanisha dhidi ya...
YANGA KUTUA DAR LEO KUENDELEA KUIVUTIA KASI SIMBA
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Luc Eymael kinatarajiwa kutua leo Dar majira ya saa sita mchana kikitokea Bukoba.Yanga ilikuwa na kazi ya...
SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KUMSAJILI BERNARD MORRISON
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna mpango na mchezaji matata wa Yanga, Bernard Morrison ambaye amekuwa akitajwa kuhitajiwa na Simba.Ilikuwa inaelezwa kuwa Simba walikuwa...
JOSE MOURINHO AKASIRIKA KWELI KISA SARE
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Klabu ya Tottenham Hotspur aligomea mkutano wa waandishi wa Habari baada ya mchezo wake dhidi ya Bournemouth kukamilika kwa...
HARUNA NIYONZIMA AIBUKA ATOA NENO KUELEKEA MECHI DHIDI YA SIMBA
KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima, ameibuka na kutamka kuwa mashabiki waondoe hofu kwani anaendelea vizuri kiafya na Mungu akijaalia atakuwepo sehemu ya kikosi kitakachowavaa...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
BENO KAKOLANYA MLINDA MLANGO NAMBA MBILI WA SIMBA ATUMIA DAKIKA 720...
BENO Kakolanya mlinda mlango namba mbili wa Simba amefanikiwa kutwaa taji la Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 ndani ya Simba akiwa amekaa langoni...
MANCHESTER UNITED SIO WATU WAZURI WAISHUSHIA MVUA YA MABAO ASTON VILLA...
PAUL Pogba, nyota wa Manchester United alikomelea msumari wa mwisho kwa Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu England wakati wakiibamiza kwa mabao 3-0.Mchezo...