admin
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii kwa sasa, bado mechi moja inachezwa leo kati ya Azam FC v Singida United
BIASHARA UNITED YAGAWANA POINTI MOJA NA YANGA, KARUME
BIASHARA United ya Mara leo imelazimisha sare ya bila kufungana na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Karume.Mchezo wa leo...
JESHI KAZI LA AZAM FC DHIDI YA SINGIDA UNITED
KIKOSI cha Azam FC kitakachoanza dhidi ya Singida United leo Uwanja wa Azam Complex
NDANDA YATOSHANA NGUVU NA SIMBA NANGWANDA
KIKOSI cha Ndanda leo kimelazimisha sare ya bila kufungana na mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...
VPL: BIASHARA UNITED 0-0 YANGA
KIPINDI cha Kwanza Uwanja wa Karume.Biashara United 0-0 YangaZimeongezwa dakika 3Dakika 45 zimekamilikaDk 44 Redodo anafanyiwa faulo Juma Abdul anaonyeshwa kadi ya njanoDakika ya...
VPL;NDANDA 0-0 SIMBA
Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Nangwanda SijaonaVPL: Ndanda 0-0Dakika ya 38 Bocco anapiga kichwa kinakwenda pembeni kidogoDakika ya 37 Luis anapeleka mashambulizi Ndanda Dakika ya...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NDANDA FC, NANGWANDA
SIMBA leo itakaribishwa na Ndanda FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuanza majira ya saa 10:00 Uwanja wa Nangwanda Sijaona.Hiki hapa kikosi...
HALI ILIVYO KWA NJE YA UWANJA WA KARUME LEO AMBAPO BIASHARA...
UWANJA wa Karume, Mara mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United dhidi ya Yanga leo.Mchezo huo unatarajiwa...
USHINDANI NDANI YA LIGI KUU BARA UNAHITAJIKA, TIMU ZIBORESHE VIKOSI MSIMU...
VITA kubwa kwa sasa ambayo imebaki kwenye Ligi Kuu Bara ni suala la kugombania nafasi ya pili kwa timu zilizo ndani ya tano bora...
DAVID MOLINGA AIPIGA MKWARA BIASHARA UNITED
DAVID Molinga mtupiaji namba moja ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa wamekubaliana kwa pamoja kupata pointi tatu kwenye mchezo wao wa leo dhidi...