admin
SABABU YA SINGIDA UNITED KUYEYUSHA POINTI TATU MBELE YA WANAJESHI CORONA...
SINGIDA United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ramadhan Nzwanzurimo imezidi kuwa kwenye hali tete baada ya Juni 20 kukubali kichapo cha mbele ya JKT...
MNIGERIA : HUYU NDEMLA HUYU..!!!
STRAIKA wa Mwadui FC, Raphael Aloba ‘Obina’ amesema kupotezwa na viungo wa Simba SC, wakiongozwa na Said Ndemla ndio sababu iliyowafanya kukumbana na kipigo...
SIMBA WAANZA KUIVUTIA KASI MBEYA CITY LEOLEO
BAADA ya kikosi cha Simba kufika jijini Mbeya leo kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuvaana na Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi...
PAUL NONGA AGOMEA KUREJEA LIPULI
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa hana mpango wa kurejea kwenye timu kwa sasa mpaka pale watakapokamilisha malipo ya mshahara wake ambao hajalipwa...
KUHUSU KUTUA YANGA..KOTEI AMEFUNGUKA HAYA..!!
UJUMBE wa kiungo wa zamani wa Simba, James Kotei (26) alioutuma leo kwenye ukurasa wake wa Instagram, umeonyesha ishara ya wazi kuwa anaelekea kujiunga...
SHIKHALO AFUNGUKIA ISHU YA KUWEKWA BENCHI NA MNATA
FAROUK Shikhalo, mlinda mlango namba moja wa Yanga amesema kuwa kukaa kwake benchi kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kunampa hasira ya kujinoa zaidi...
A-Z KUHUSU ISHU YA KAKOLANYA SIMBA IPO NAMNA HIVI
HALI ya hewa siyo nzuri baina ya kipa wa Simba, Beno Kakolanya na bosi wake, Mohammed Mwarami na inaelezwa wamechenjiana kwa maneno na ndiyo...
POLISI TANZANIA BADO HAIJAREJEA KWENYE UBORA WAKE
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania amesema kuwa kikosi chake bado hakijarejea kwenye ubora wake kutokana na kutokuwa na muunganiko mzuri baada ya...
UBINGWA SIMBA UNABEBWA KWA HESABU HIZI HAPA
SARE ya jana, Juni 21 kati ya Yanga dhidi ya Azam, Uwanja wa Taifa imezidi kuisogeza Simba katika kuufikia ubingwa.Iko hivi, Simba wakishinda mechi...