admin
SIMBA YATENGA DAKIKA 180 ZA KAZI HUKO MBEYA
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wana kazi ngumu kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara ambazo ni dhidi ya Mbeya City na...
LEO NI VITA YA UBINGWA, SIMBA NA YANGA WOTE WANAKIWASHA UWANJANI
HESABU za mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara kuweza kufikia malengo ya kutwaa ubingwa itaanza kuhesabiwa leo iwapo itashinda mchezo wake dhidi ya Mbeya...
FILAMU YA BERNARD MORRISON NI PASUA KICHWA NDANI YA YANGA, GSM...
INJINIA Hersi Said amesema kuwa mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison amesaini kandarasi ya miaka miwili mbele ya macho yake hivyo ni mali halali ya...
MBEYA CITY V SIMBA NGOMA NZITO LEO SOKOINE
UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo utapambana kupata pointi tatu kwenye mchezo wao utakaopigwa majira ya saa 10:00 jioni Uwanja wa Sokoine.Akizungumza na Saleh...
BREAKING:YANGA YATOA TAMKO KUHUSU MKATABA WA MORRISON
Taarifa kutoka Yanga kuhusu mkataba wa Bernard Morrison
KAGERA SUGAR V AZAM FC BALAA ZITO LEO KAITABA
AZAM FC leo ina kazi ya kumenyana na Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 jioni Uwanja...
DAVID LUIZ KUONGEZEWA DILI LA MWAKA MMOJA
DAVID Luiz, nyota anayekipiga ndani ya Arsenal amekubali kuongeza saini ya mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu hiyo iliyo chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta.Beki...
MBAO WAJINYOOSHEA COASTAL UNION, BADO INA KIBARUA KIGUMU
MBAO FC jana imeinyoosha bao 1-0 Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba.Bao pekee la ushindi kwa Mbao...