admin
10 LEO KUSAKA POINTI TATU, YANGA USIKU SIMBA JIONI, RATIBA HII...
LIGI Kuu Bara inaendelea kuchanja mbunga ambapo leo Juni 24, timu 10 zitakuwa kwenye viwanja vitano zikisaka pointi tatu muhimu.Mechi moja tu itapigwa usiku...
KISA FEDHA ZA SIMBA, MORRISON AOGOPA KUUAWA, NDAN YA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano. Lipo mtaani jipatie nakala yako ujishindie ndinga mpya kabisa itakayotoka hivi karibuni.
LIVERPOOL IMEBEBA MATUMAINI KIBAO KUTAWALA SOKA LA ENGLAND
BEKI kisiki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amewaonya wapinzani kuwa timu yao ndio kwanza inaanza kutawala soka la England na wanatarajia watatamba kwa miaka...
KUMUONA BERNARD MORRISON NI BUKU TANO TU
LEO saa moja kamili Usiku, Uwanja wa Taifa kutakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Namungo FC. Mchezo huu wa Ligi...
JEMBE LINALOTUA SIMBA NI NOMA, YANGA WALISHINDWANA NAYE KWENYE MKWANJA
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda Michael Sarpong, amekubali kujiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili baada ya uongozi...
BERNARD MORRISON AIBUA MAZITO YANGA NI NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
KESHO ndani ya Championi Jumatano
YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA NAMUNGO FC
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wa kesho ni kushinda ili kupata pointi tatu.Kesho, Juni 24, Yanga itaikaribisha Namungo FC kwenye...
MSHAHARA WA KOTEI YANGA KUFURU…!!
KIUNGO James Kotei aliyesitishiwa mkataba na Slavia Mozyr ya nchini Belarus amefikia pazuri na Yanga ambao wamemuwekea Sh.80 milioni mezani asaini.Mmoja wa vigogo wa...
MATOKEO YOTE YA MECHI ZA LEO NDANI YA LIGI KUU BARA...
HAYA hapa matokeo ya mechi za leo zilizochezwa za Ligi Kuu Tanzania Bara, hali ya Singida United bado ni tete, yapokea kichapo tena mbele...
SIMBA WAPIGA MATIZI YA MWISHO LEO, VITA YAO KESHO INA VIGINGI...
KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo wa kesho, Juni 24 dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Uwanja wa Sokoine, majira...