admin
WAWILI WA SIMBA KUPIGWA CHINI JUMLAJUMLA
HASSAN Zadadu, mwenyekiti wa Klabu ya Namungo amesema kuwa Klabu hiyo itaachana na nyota wa Klabu ya Simba Mohamed Ibrahim na Paul Bukaba waliokuwa...
BREAKING;MORRISON ATUA MAKAO MAKUU YA YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison ametua makao makuu ya Yanga ili kuzungumza masuala yanayomhusu.Morrison hakusafiri na timu ambayo ilicheza mchezo na Mwadui FC...
BERNARD MORRISON BADO PASUA KICHWA YANGA, KESHO KUIKOSA JKT TANZANIA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison bado ni pasua kichwa kwa sasa kwani inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za Simba jambo linalomfanya asiwe na...
SIMBA YAPANIA KUIBUKA NA USHINDI MBELE YA MWADUI FC
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mechi zote zilizobaki ikiwa ni pamoja na ile ya...
WINGA WA CONGO ATAJA SIKU YA KUTUA YANGA
TUISILA Kisinda, winga anayekipiga AS Vita ya Congo amesea kuwa muda wowote kuanzia leo anaweza kutua Yanga.Hivi karibuni, Yanga chini ya Mkurugenzi wa Uwekezaji...
HUYU HAPA MRITHI WA JOHN BOCCO
NAHODHA wa Simba, John Bocco alikuwa wa kwanza kufunga bao kwenye Uwanja wa zamani wa Azam Complex Chamazi, Agosti 20,2011 mbele ya Moro United.Bocco...
GWAMBINA FC YAPIGA HESABU ZA KUIBUKIA NDANI YA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Gwambina FC umesema kuwa malengo makubwa ni kuona inashiriki Ligi Kuu Bara msimu ujao kwa kuwa imejipanga kuona inafikia malengo hayo.Gwambina ipo...
PAPE GUEYE AWEKWA KWENYE RADA ZA WATFORD
PAPE Gueye, nyota wa timu ya Le Havre AC amewekwa kwenye rada za Klabu ya Watford ambayo imeonyesha nia ya kupata saini yake kwenye...
SIMBA INA MATUMAINI KIBAO KUFIKIA MALENGO YAKE
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa bado ana imani na kikosi chake licha ya kuambulia sare mbele ya Ruvu Shooting.Simba, Juni 14...