Home Authors Posts by admin

admin

25386 POSTS 9 COMMENTS

AZAM FC SIO WATU WAZURI, WAIPIGA MABAO 2-0 MBAO FC

0
AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Uwanja wa Azam Complex.Mabao...

KISA KUGAWANA POINTI MOJA NA RUVU, SIMBA WATOA TAMKO HILI

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa leo sio aina ya matokeo mazuri ambayo waliyatarajia.Simba...

AZAM FC YAPIGA MTU 4G

0
TIMU ya wafanyakazi wa Azam FC imefanya kweli baada ya kuwafunza soka wafanyakazi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikiwanyuka mabao 4-0.Mechi hiyo ya...

SIMBA YAKIONA CHA MOTO LEO TAIFA, YAAMBULIA POINTI MOJA MBELE YA...

0
LICHA ya Shiza Kichuya kuifungia Simba bao la kuongoza dakika ya 11 halikufua dafu mbele ya wazee wa kupapasa Ruvu Shooting ambao walilipinduapindua ndani...

AZAM FC WATEKELEZA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU KWA VITENDO

0
AZAM FC leo imetekeleza kwa vitendo siku ya wachangiaji damu duniani, kwa baadhi ya wafanyakazi kuchangia damu kwenye benki ya Taifa ya Damu Salama.Zoezi...

VPL: SIMBA 1-1RUVU SHOOTING

0
Zimeongezwa dakika 3Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Taifa dakika 45 zimemegukaDakika ya 43 Ruvu wanalifuata lango la SimbaDakika ya 35 Goal MagangaDakika ya 35...

HILI HAPA JESHI KAMILI LA WAZEE WA KUPAPASA RUVU SHOOTING DHIDI...

0
KIKOSI cha Ruvu Shooting dhidi ya Simba leo Juni 14 Taifa kitakuwa namna hii:-Mohamed MakakaOmary KindambaKassim Simbaulanga Rajab ZahirBaraka MtuwiZubeir Dabi Abdallahman MusaShaban MsalaGraham Naftal Fully Maganga William...

YANGA YAFICHUA KILICHO NYUMA YA USHINDI WAO NA MWADUI, ISHU YA...

0
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa tofauti zao waliziweka kando na kuingia uwanjani kupambana kwa kuwa ni timu moja.Jana, Juni 14 Yanga...

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA RUVU SHOOTING, TAIFA,...

0
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Ruvu Shooting, Juni 14 Uwanja wa Taifa

BALAA TUPU LEO TAIFA, UTAPIGWA MPIRA WA BARCELONA

0
LEO Uwanja wa Taifa kutakuwa na kazi moja kubwa kwa Simba iliyo nafasi ya kwanza na pointi 71 kuzisaka pointi tatu mbele ya Ruvu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS