admin
KICHUYA ARUDI NA UTAMU WAKE
WINGA wa Simba, Shiza Kichuya, ameanza kurejea katika utamu wake baada ya juzi kupiga soka la kiwango cha juu wakati timu hiyo ilipocheza na...
WAKATI WA KUSHUHUDIA KILICHOKOSEKANA KWA MUDA UNAWADIA, MUHIMU KUENDELEA KUCHUA TAHADHARI
WAKATI Ligi Kuu Bara ikitarajiwa kuendelea Juni 13 ambapo kutakuwa na mechi mbili ya kwanza itakuwa kati ya Mwadui FC na Yanga na ya...
CHAMA ATUA NA UJUMBE WA SHONGA KWA SIMBA
KIUNGO wa Simba Mzambia, Clatous Chama, ametua nchini pamoja na kuanza mazoezi, habari kubwa wanayotaka kusikia Wanamsimbazi ni ujumbe aliyokuja nayo kutoka kwa straika...
SIMBA WATOA NENO KUHUSU ISHU YA DAVID MOLINGA
KUTOKANA na mchezaji wa Yanga, David Molinga kudai kuwa ameachwa kutokana na kutowekwa kwenye orodha ya wachezaji walioelekea Shinyanga kuvaana na Mwadui FC, uongozi...
STAILI MPYA SIMBA YA KUKABA SI MCHEZO
KWA mara ya kwanza jana Simba imeonyesha kwamba wao ni levo nyingine kabisa baada ya kucheza mechi mbili asubuhi na jioni na kupiga mabao...
MTIBWA SUGAR INA KAZI KWENYE SAFU YA ULINZI, KOCHA HANA MASHAKA
DICKSON Job, beki chipukizi ndani ya Mtibwa Sugar, Kocha Mkuu Zubeir Katwila amemwani na kumpa mikoba ya kuwa kiongozi wa safu ya ulinzi.Ikiwa imecheza...
REAL MADRID,CHELSEA ZAKUTANA KWA KIUNGO KAI
KAI Havertz, kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Bayer Leverkusen anatajwa kuwindwa na Klabu ya Real Madrid iliyo chini ya Kocha Mkuu, Zinadine Zidane.Inaelezwa kuwa...
YANGA: TUPO TAYARI KUIVAA MWADUI FC, WAMSHUKURU MUNGU KUWALINDA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Mwadui FC utakaopigwa Juni 13 Uwanja wa Kambarage.Akizungumza...
KMC YAGOMEA KUSHUKA DARAJA, YATAJA MBINU WATAKAZOTUMIA KUBAKI
UONGOZI wa KMC umesema kuwa utapambana kwa nguvu zote kuhakikisha timu inabaki ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2019/20. KMC ipo nafasi...