Home Authors Posts by admin

admin

25373 POSTS 9 COMMENTS

KAHATA: NINAAMINI TUTAPITA SALAMA KATIKA HILI

0
FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa imani yake ni kwamba siku moja kila kitu kitakuwa sawa kwa msaada wa...

KUNA WENYE MASLAHI MOLINGA AKIONDOKA, WATAFAIDIKA HIVI….

0
Na Saleh AllyWAKATI akisajiliwa Yanga, Kocha Mkuu wakati ule, Mwinyi Zahera alijigamba kuwa mshambulizi wake mpya, David Molinga atawaonyesha kazi. Baada ya muda, alimuweka kando...

TAYARI TALIB HILAL AMEFUNGUA NJIA, WANAMICHEZO RUDISHENI NYUMBANI VITA DHIDI YA...

0
NA SALEH ALLYNILIKUWA naangalia kiungo kinda wa FC Barcelona, Moussa Wague alivyoamua kutoa misaada ya chakula na mafuta tani 12 katika eneo alilozaliwa la...

COASTAL UNION HAINA MPANGO WA KUBORESHA KIKOSI CHAO

0
JUMA Mgunda,Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa kwa sasa hafikirii kuhusu masuala ya usajili. Mgunda ni miongoni mwa makocha wazawa ambao wanafanya vizuri kwa...

MESSI AMKOMALIA NEYMAR JR

0
LIONEL Messi, mshambuliaji namba moja ndani ya Barcelona bado anaushawishi uongozi wa klabu yake uipate saini ya Neymar Jr.Inaelezwa kuwa Messi amemchagua Neymar badala...

SIMBA YAWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

0
MOHAMED Hussein, 'Tshabalala' nahodha msaidizi wa Simba amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi binafsi pamoja na kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Tshabala...

BOSI HUYU AMESHIKILIA MKATABA WA PACHA HII MATATA NDANI YA YANGA...

0
IMEEELEZWA kuwa Yanga inasubiri neno kutoka kwa Kocha Mkuu, Luc Eymael ili kumalizana na mastaa walio Kwenye rada zao ambao ni Relliants Lusajo na...

HAWA HAPA MASTAA 8 WANATAJWA KUWA KWENYE RADA ZA SIMBA. MBELGIJI...

0
INAELEZWA kuwa mpango namba moja wa mabosi wa Simba ni kusuka kikosi bora ambacho kitafanya vema msimu ujao kwenye mechi za kitaifa na kimataifa.Kwa...

HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA JUMA KASEJA

0
JUMA Kaseja, nahodha wa KMC amesema kuwa kwa sasa anachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku akifanya mazoezi kulinda kipaji chake.Ligi Kuu Tanzania...

AZAM FC HAWASAHAU BALAA LA SIMBA TAIFA

0
IDD Seleman, 'Naldo' mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa miongoni mwa mechi ambayo ilikuwa na presha msimu huu ni ile dhidi ya Simba walipokubali...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS