Home Authors Posts by admin

admin

25031 POSTS 9 COMMENTS

YANGA WABISHI KWELI, WAIKOMALIA SIMBA KWA CHAMA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umefikia hatua nzuri ya kuipata saini ya nyota wa Simba, Clatous Chama ili akacheze ndani ya Yanga msimu ujao.Chama...

SIMBA: YANGA WAISHUKURU GSM BILA WAO KUTUFUNGA INGEKUWA NDOTO

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa uongozi wa Yanga ni lazima waushukuru uwepo wa GSM ndani yao kwani isingekuwa hivyo hata kuwachapa kwenye mchezo wao...

ISHU YA NDEMLA KWENDA YANGA: KOCHA SVEN AMALIZA UBISHI

0
HUENDA mashabiki wa Yanga wakasonya mitaani, huku wenzao wa Simba wakachekelea baada ya Kocha Sven Vanderbroeck kumaliza ubishi juu ya kiungo fundi wa mpira...

KISA CHAMA, SIMBA KUISHTAKI YANGA

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo kwenye mpango wa kuwashtaki Yanga kutokana na suala lao la kutaka kuipata saini ya nyota wao Clataos Chama...

LIVERPOOL YAHAHA KUMPATA MBADALA WA MANE IWAPO ATASEPA

0
KYLIAN Mbappe nyota anayekipiga ndani ya PSG kwa sasa amewekwa kwenye mpango wa kutua ndani ya Liverpool iwapo wataikosa saini ya nyota wao Sadio...

KAKOLANYA AAMBIWA ASEPE NDANI YA SIMBA KUPATA CHANGAMOTO MPYA

0
GOLIKIPA wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Ivo Mapunda, amemshauri kipa wa Simba, Beno Kakolanya kwenda kutafuta changamoto nje ya nchi ili...

VIFUAVIWILI:WATANIELEWA TU SIKU MOJA LICHA YA KUNIBEZA KWA SASA

0
BRUNO Tarimo ‘Vifuaviwili’ bondia wa ngumi za kulipwa ambaye ni  bingwa wa International Super Feather Weight alioupata nchini Serbia kwa pointi mbele ya bondia...

RAMSEY AMPA TANO CR 7

0
SUPASTAA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, amefagiliwa na mchezaji mwenzake, Aaron Ramsey kwa uanamichezo wake, ubora na kufuata maadili ya kazi yake.Ronaldo alikuwa akifurahia msimu...

MABOSI WA YANGA WAPANIA KUWA NA KIKOSI MATATA AFRIKA MASHARIKI NA...

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mpango mkubwa wa kuboresha kikosi chao kwa sasa ni mkubwa na wana imani ya kuwa na kikosi bora mwakani.Kwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS