admin
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
YANGA YAWATAKA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI YA CORONA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wanapaswa waendelee kuipa sapoti timu yao na kuendelea kujikinga na Virusi vya Corona.Ligi Kuu Bara imesimama kwa muda...
KIUNGO BORUSSIA DORTMUND ATAJA MABOSI WAKE WANACHOKITAKA
KIUNGO wa Borussia Dortmund, Emre Can amesema kuwa kitendo cha yeye kutua ndani ya klabu hiyo klabu inatarajia kitu kikubwa toka kwake. Dortmund ilinasa saini...
BAYERN MUNICH SASA KUANZA KUPIGA MATIZI
KLABU ya Bayern Munich ya Ujerumani wiki hii imetoa taarifa kuwa wachezaji wa klabu hiyo wataanza mazoezi yao rasmi kwa mafungu ili kujikinga na...
GSM NA YANGA WAMEFIKIA HAPA KWA SASA, UONGOZI WAFUNGUKA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa Kampuni ya GSM itaendelea kufanya nao kazi kwa kufuata masharti yale yaliyopo kwenye mkataba.Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Dr.Mshindo...
HIKI NDICHO KITAKACHOMRUDISHA OKWI NDANI YA SIMBA TENA
EMMANUEL Okwi nyota wa zamani wa Simba anayekipiga ndani ya Klabu ya Al Ittihad anatajwa kurudi Bongo baada ya mambo kuwa magumu nchini Misri.Nyota...
ROMA YANOGEWA NA HUDUMA YA SMALLIG YAITAKA SAINI YAKE
CHRIS Smalling anayekipiga ndani ya Roma kwa mkopo akitokea katika Manchester United inasemekana Man U inampango wa kumrejesha msimu ujao.Mabosi wa Roma tayari nao...
DAU LA BEKI ANAYEWINDWA NA SIMBA NI PASUA KICHWA
INAELEZWA kuwa dau la nyota wa Coastal Union, Bakari Nondo ni zaidi ya milion 90 kutokana na uwezo wake alionao ndani ya Ligi Kuu...
NAMNA METACHA MNATA ALIVYOTIBIWA KIDOLE CHAKE NA YULE MAMA MWENYE MIUJIZA
Nilielezea namna ambavyo nilicheza kwa wikimbili mfululizo huku kidole changu kikiwakimevunjika.Sikuwa nimejua kama kidole kimevunjika lakinimuda wote wa wiki mbili nilicheza nikiwa namaumivu makali...