admin
SASA LIGI KUU BARA KUCHEZWA BILA MASHABIKI UWANJANI
KIKAO cha Kamati ya Uongozi cha TFF kimeazimia kuwa, baada ya siku 30 Serikali itakaporuhusu michezo kuendelea, mechi za Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja...
MPANGO MKUBWA WA KUMALIZA LIGI KUU ENGLAND UPO NAMNA HII
IMEELEZWA kuwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England zimepanga kumalizia msimu wa 2019/20 kwa kucheza mechi zao zilizobaki bila kuwa na mashabiki na kwenye viwanja...
KAMBI YA AZAM FC YAVUNJWA RASMI LEO MPAKA APRILI 17
KLABU ya Azam FC, leo Machi 18, 2020, imevunja rasmi kambi yake na kuwaruhusu wachezaji wote kurudi makwao.Taarifa rasmi iliyotolewa kupitia ukurasa wa Instagram...
WAWILI SASA NDANI YA JUVENTUS WATHIBITISHWA KUWA NA CORONA
KIUNGO Blaise Matuidi anayekipiga Juventus ya Italia inayoshiriki Serie A amepatikana na ugonjwa wa Corona.Klabu yake ya Juventus imethibitisha hilo na kumfanya afikishe idadi...
MBELGIJI WA YANGA AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu ya Simba ni miongoni mwa timu kubwa Bongo kutokana na uwezo wake wa kutokata tamaa...
ALIYEMBANA MEDDIE KAGERE ALIPEWA MBINU NA SIMBA WENYEWE
LAMINE Moro, beki kisiki ndani ya Yanga amesema kuwa alipewa mbinu na Simba wenyewe za kuwabana washambuliaji wao jambo ambalo halikumpa tabu Machi 8,...
HUYU HAPA MWANAMICHEZO MWENZETU ALIYEGUNDULIKA NA CORONA TUMUOMBEE
Isabella ni mwanamichezo mwenzetu ambaye amegundulika na ugonjwa wa Virusi vya Corona. Amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kugundulika ana Corona, hivyo tumuombee...
MTIBWA SUGAR KUREJEA MORO LEO BAADA YA MCHEZO WAO DHIDI YA...
TIMU ya Mtibwa Sugar ambayo leo ilikuwa ina mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union ya Tanga, Uwanja wa Mkwakwani inatarajia kuanza...
HAWA JAMAA WANABALAA LA KUCHEKA NA NYAVU
HAWA hapa wakali wa kucheka na nyavu msimu huu wa 2019/20 kwenye mechi zao za Ligi Kuu Bara namna hii:--Meddie Kagere, mshambuliaji wa Simba...
SIMBA: YANGA WALITUOTEA KUTUCHAPA BAO 1-0
CLATOUS Chama, raia wa Zambia anayekipiga ndani ya Simba anaamini kuwa Klabu ya Yanga iliwaotea Machi 8 Uwanja wa Taifa kwa kuwachapa bao 1-0.Chama...