admin
BEKI POLISI TANZANIA: UONGOZI WA POLISI TANZANIA UNAFUATILIA KWELI
WILLIAM Lucian, ‘Gallas’ beki wa kuliwa wa Polisi Tanzania amesema kuwa uongozi wa Polisi Tanzania upo makini kwenye kufuatilia maendeleo ya wachezaji pamoja na...
BEKI WA LIVERPOOL KUTIMKIA ARSENAL
DEJAN Lovren mwenye miaka 30 beki anayekipiga ndani ya Liverpool huenda akasepa msimu ujao.Beki huyo amekuwa hana nafasi kwenye kikosi cha kwanza kilicho chini...
MANCHESTER UNITED SASA YAMGEUKIA JAMES MADDISSON
JAMES Maddisson kiungo anayekipiga ndani ya Leicester City saini yake imekuwa Lulu ghafla kwenye timu zinazoshiriki Ligi Kuu England.Nyota huyo mwenye miaka 23 anakipiga...
WASHIDI WA JISHINDIE GARI KUSEPA NA ZAWADI ZAO LEO
IMEZIDI kuwa tamu sasa promosheni namba moja Bongo ya Chomoka na Gari inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publisher wazalishaji wa magazeti ikiwa ni pamoja...
HAWA HAPA WANAOMBEBA FEI TOTO YANGA
FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amesema kuwa uwepo wa Haruna Niyonzima na Papy Tshishimbi umekuwa ukimfanya kuwa Bora.Kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa ili...
TOTTHENHAM, JUVENTUS USO KWA USO KWA KIUNGO WA CHELSEA
WILLIAN nyota anayekipiga ndani ya Chelsea amewekwa kwenye rada za Juventus na Tottenham ambazo zimetajwa kumuwinda kiungo huyo.Willian alikuwa akihusishwa kutimka ndani ya Klabu...
HUSSEIN MACHOZI: CORONA IMETUFANYA TUSHINDE NDANI
HUSSEIN Machozi Mwana BongoFleva anayeishi Italia amesema kuwa maambukizi ya Virusi vya Corona yamewafanya wajifungie ndani muda mwingi.Machozi kwa sasa kazi zake za muziki...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMIS
Muonekano wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SpotiXtra Alhamisi lipo mtaani
PASCAL WAWA: TUCHUKUE TAHADHALI NA CORONA
BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa, amesema kuwa Virusi vya Corona siyo vya kuchukulia utani, ni lazima kila mmoja achukue tahadhari.Wawa amesema kuwa kwa...