Home Authors Posts by admin

admin

25025 POSTS 9 COMMENTS

YANGA YAITANGAZIA VITA JUMLAJUMLA SIMBA, MACHI 8 TAIFA

0
UONGOZI wa  Yanga umesema kuwa utaonyesha soka safi lisilo na makandokando kwenye mchezo wao utakaochezwa Machi 8, Uwanja wa Taifa dhidi ya Simba.Yanga iliyo...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa

BEKI AZAM FC APIGWA PINI MIAKA MITATU MAZIMA

0
BEKI chipukizi wa Azam FC Lusajo Mwaikenda makataba ataendelea kuitumikia klabu yake hiyo mpaka mwaka 2023.Hatua hiyo imekuja baada ya kupewa kandarasi mpya ya...

KUMBE, BEKI MANCHESTER UNITED ALIMPA HASIRA BILLY WA CHELSEA

0
KIUNGO wa Chelsea, Billy Gilmour amesema aliweza kucheza vizuri katika mechi yao dhidi ya Liverpool baada ya kuamua kuwa imara kutokana na mkwara aliopigwa...

NYOTA BORUSSIA DORTUMUND ATAJA SABABU YA KUTOMSAHAU KOCHA WA MANCHESTER UNITED

0
NYOTA wa timu ya Borussia Dortumund, Earling Haalad amesema kuwa hawezi kumsahau Kocha Mkuu wa Manchester United, Ole Gunnnar Solkkajer, kwa sapoti yake.Wote wawili...

MBELGIJI WA SIMBA AWATAKA WACHEZAJI WAKE KUWAPA BURUDANI MASHABIKI MACHI 8,...

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili, Machi 8, Uwanja wa Taifa dhidi ya Yanga wachezaji wake lazima...

MILIONI 200 ZAWEKWA MEZANI KWA YANGA KUIUA SIMBA MACHI 8 TAIFA

0
UONGOZI wa Yanga na mdhamini GSM wameahidi kutoa Sh milioni 200 kwa wachezaji wa Yanga iwapo watashinda mechi yao dhidi ya Simba Jumapili, Machi...

BOSI SIMBA ATUMA UJUMBE KWA KOCHA, WACHEZAJI KISA YANGA

0
KUELEKEA kwenye mchezo kati ya Yanga na Simba utakaopigwa Machi 8, Uwanja wa Taifa, Mwenyekiti wa Bodi ya Uwekezaji ndani ya Simba, Mohammed Dewji...

NDANDA YAKUTANA NA RUNGU LA TFF NAMNA HII

0
Timu ya Ndanda FC imetozwa faini ya Tsh 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la timu hiyo kuingia uwanjani kwa kupitia mlango usio rasmi na...

YANGA YATAJA MBINU ITAKAYOIMALIZA SIMBA MACHI 8 TAIFA

0
CHARLES Mkwasa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa mbinu iliyowashangaza wengi Januari 4, Uwanja wa Taifa itatumika pia baada ya dakika 90 kwenye mchezo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS