Home Authors Posts by admin

admin

24381 POSTS 9 COMMENTS

SAMATTA AANZA MAKEKE YAKE,NYOTA YAKE KALI KINOMA, ASTON VILLA, AANZA NA...

0
MBWANA Samatta, mshambuliaji wa timu ya Aston Villa, amecheza mchezo wake wa kwanza usiku wa wa kuamkia leo mbele ya Leicester City kwenye Kombe...

ISHU YA IST YA KABWILI, SIMBA WAITAJA TFF

0
Hii hapa ni taarifa ya Simba kuhusiana na tamko la Ramadhan Kabwili juu ya kupewa IST na viongozi wa klabu ya Simba. Moja ya...

TAMKO JINGINE LA KOCHA YANGA JUU YA MORRISON, INAONESHA AMEKERWA

0
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael amesema hapendi kuona mchezaji wake, kiungo Bernard Morrison akiwadhalilisha wapinzani wake kwa staili yake ya uchezaji.Kauli...

MORRISON AZIDI KUWA HABARI NYINGINE

0
Nahodha msaidizi wa Yanga, Juma Abdul, amesema kuwa uwezo alionao kiungo mshambuliaji, Bernard Morrison, raia wa Ghana, ni habari nyingine kwani ana vitu vingi...

RASMI YANGA WAFUATA NYAYO ZA SIMBA

0
Mwenyekiti wa timu ya Yanga anapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Dharura wa wanachma wa Klabu utakaofanyika Jumapili 16/02/2020 kuanzia...

TAMKO LA YANGA JUU YA SUALA LA KABWILI KUPEWA IST NA...

0
KLABU ya Yanga kupitia kwa Ofisa Habari wake, Hassan Bumbuli imekiri kuwa taratibu haziwaruhusu wachezaji kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu masuala ya ndani...

HAJI MANARA AWACHOKOZA TENA YANGA ‘AWAMU HII KILA MTU NA MSALABA...

0
Alichokiandika Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram juu ya watani zake Yanga kuhusiana na uwakilishi katika mashindano ya kimataifa.

BAADA YA KUONYWA NA KOCHA WAKE JUU YA MBWEMBWE, MORRISON AAMUA...

0
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison amesema anapofanya mbwembwe uwanjani halengi kuwadhihaki timu pinzani bali ni mahsusi kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki ambao...

SVEN AFUNGUKA JUU YA SUALA LA UMOJA SIMBA

0
KOCHA wa Simba Sven Vandenbroeck amewasisitiza wachezaji wake kucheza kwa umoja ili kuendelea kupata ushindi utakaorudisha furaha kwa mashabiki na kutimiza malengo ya kutetea...

SAMATTA KUANZA KUONYESHA MAKEKE YAKE LEO KWA MARA YA KWANZA

0
MBWANA Samatta aingia Jumla kwenye kikosi cha kwanza, leo kuanza kuonyesha makeke dhidi ya Leicester City, mchezo wa Kombe la Carabao.
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS