Home Authors Posts by admin

admin

24381 POSTS 9 COMMENTS

SASA MAMBO KWA ULIMWENGU NI SAFI NDANI YA TP MAZEMBE, KESHO...

0
THOMAS Ulimwengu, mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya JS Saura ya Algeria yupo kwenye hatua za mwisho kutambulishwa...

ARGUERO AONGEZA URAFIKI NA NYAVU, KWA KUTUPIA TU BALAA

0
SERGIO Aguero,mshambuliaji wa Manchester City ameongeza urafiki na nyavu ambapo mpaka sasa ametupia jumla ya mabao 16 ndani ya Ligi Kuu England.Amecheza jumla ya...

SIMBA YATOA TAMKO ISHU YA IST YA KABWILI

0
UONGOZI wa Simba leo umetoa tamko rasmi kuhusu suala la mchezaji wa Yanga, Ramadhan Kabwili, kudai kwamba aliahidiwa kupewa gari aina ya Toyota IST...

KIJITONYAMA VETERANS KUMENOGA, UONGOZI MPYA WAPATIKANA, MOLANDI AANZA NA MKWARA WA...

0
TIMU ya Kijitonyama Veterans wikiendi hii ilifanikiwa kupata viongozi wapya watakaoiongoza timu hiyo kwa kipindi cha miaka minne baada ya ya kufanya uchaguzi.Katika uchaguzi...

CHAPCHAP…SPORTPESA WAMWAGA MPUNGA NAMUNGO FC

0
Jumanne tarehe 28 Januari, 2019 Kampuni ya ubashiri ya SportPesa imeingia mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja na timu ya Namungo FC inayoshiriki Ligi...

GREALISH: MASHINE ASTON VILLA ITAKAYOJUMLISHA NGUVU NA SAMATTA, KUSAKA UKOMBOZI

0
NA SALEH ALLYMBWANA Ally Samatta ametua England na kujiunga na Aston Villa ambayo iko katika harakati za kupambana kuhakikisha inatoka kwenye janga la kuteremka...

AZAM FC YAFICHUA KILICHOWAPA USHINDI WA MABAO 3-1 MBELE YA FRIEND...

0
IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa kikubwa kilichowapa ushindi mbele ya Friend Rangers ni kucheza kwa nidhamu kwa wachezaji pamoja na...

THOMAS ULIMWENGU KUIBUKIA TP MAZEMBE

0
IMEELEZWA kuwa, Mtanzania Thomas Ulimwengu amejiunga na Klabu yake ya zamani ya TP Mazembe aliyesepa klabuni hapo 2016.Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo aliyekuwa anakipiga...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS