Home Authors Posts by admin

admin

24381 POSTS 9 COMMENTS

SAMATTA ANAAMINI WATANZANIA WOTE WATAMPA SAPOTI

0
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga Klabu ya Aston Villa amesema kuwa kutua kwake ndani ya Aston Villa kutaungwa mkono...

ISHU YA KELVIN YONDANI YANGA IPO NAMNA HII

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa kukosekana kwa Kelvin Yondani kwenye mechi zake tatu ambazo ni sawa dakika 270 ni kutokana na...

ISHU YA TOYOTA IST YA KABWILI YAPAMBA MOTO, SIMBA KUTOA TAMKO...

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo utalitolea ufafanuzi suala la madai ya mlinda mlango wa Yanga, Ramadhan Kabwili kudai kuwa aliahidiwa gari aina ya...

WALIOFARIKI AJALI YA KOBE WAZIDI KUONGEZEKA, MAWASILIANO YANASWA

0
TAARIFA za vyombo vya usalama nchini Marekani zinasema kuwa waliofariki mpaka jana  katika ajali ya helikopta iliyotokea jana huko Los Angeles, Marekani, ni  Kobe...

KOCHA SIMBA AFUNGUKA KIVINGINE KUHUSIANA NA CHANGAMOTO LIGI KUU BARA

0
MBELGIJI Sven Vanderboeck ambaye ndiye bosi mkuu wa benchi la ufundi la Simba, ametanabaisha kuwa licha ya kwamba wapo kileleni mwa msimamo wa ligi,...

MCHEZAJI YANGA: ALICHOKIFANYA MORRISON NI DHIHAKA, HAIRUHUSIWI – VIDEO

0
Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Mayay Tembele amefunguka kuhusiana na mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison.

KOCHA SIMBA AWAVAA WACHEZAJI

0
Kocha wa klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck, amesema hajaridhishwa na uwezo wa safu yake ya ulizi baada ya mechi ya Kombe la FA dhidi...

SAMATTA AMUIBUIA KOCHA YANGA

0
KOCHA wa zamani wa timu ya Taifa (Taifa Stars) na Yanga, Marcio Maximo amesema kuwa Tanzania ina wachezaji wengi wenye vipaji kama Mbwana Samatta,...

KINDOKI AMCHAMBUA MORRISON, AMTAJA HAJI MANARA KWA NAMNA HII – VIDEO

0
Shabiki na Mwanachama Kindakindaki wa Yanga Jimmy Kindoki amesema kuwa Bernard Morrison ni mchezaji mzuri ambaye amekuja kufanya makubwa katika klabu ya Yanga ikiwemo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS