Home Authors Posts by admin

admin

24381 POSTS 9 COMMENTS

ACHANA NA STORI ZA MORRISON, CHAMA AWEKA AHADI KUBWA SIMBA –...

0
Mchezaji wa klabu ya Simba, Clatous Chama, ameendelea kuweka rekodi ya kufunga mabao ya mbali yaani nje kabisa ya 18 ambapo amefunga tena kwenye...

MLINDA MLANGO WA YANGA ADAI ALIAHIDIWA IST NA SIMBA ILI ASICHEZE...

0
 RAMADHAN Kabwili, mlinda mlango namba tatu wa Yanga amesema kuwa kuna viongozi ambao amedai kuwa walikuwa ni wa Simba walimfuata na kutaka kumpa gari...

AZAM FC HAO HATUA YA 16, WAICHAPA IHEFU MABAO 3-1

0
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC leo wamepenya hatua ya 32 bora na kuibukia hatua ya 16 bora kwenye michuano ya kombe...

WAAMUZI WAFUATE SHERIA 17 ZA SOKA, MWENDO WA KUSUASUA UNAPOTEZA UBORA...

0
MIONGONI mwa sababu ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa kulifanya soka letu lizidi kudidimia kila kuchao.Wiki kadhaa nyuma niliandika makala kuhusu baadhi ya waamuzi kuchezesha...

BEKI YANGA ATAKA KURUDI KMC, AGOMEA TIMU NYINGINE JUMLA

0
ALLY Ally, beki wa Yanga amesema kuwa yupo tayari kuibukia kwenye Klabu yake ya zamani KMC  kwa mkopo na sio kwenda kwenye timu nyingine...

MWENDO MPYA KWA YANGA, LAZIMA EYMAEL AWEKEZE HUKU…

0
Na Saleh AllyMECHI mbili za mwanzo za Ligi Kuu Bara, zimekuwa mbaya kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael.Alianza na kipigo cha mabao 3-0...

METODO: BODI YA LIGI SOGEZENI MACHO YENU LIGI DARAJA LA KWANZA

0
NA SALEH ALLYKAMA utakuwa hauifuatilii Ligi Daraja la Kwanza unaweza ukadhani mambo ni rahisi, lakini ni moja ya ligi ngumu sana.Utakuwa umeangalia mfano mzuri...

JESHI LA AZAM FC LILIOANZA LEO DHIDI YA FRIENDS RANGERS UWANJA...

0
HILI hapa jeshi la Azam FC lililoanza leo dhidi ya Friend Rangers.

MTIBWA SUGAR: SAHARE SIO WATU WAZURI, WALITUKAMIA KINOMA

0
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa, timu ya Sahare Stars sio watu wazuri kwani walikaza mwanzo mwisho kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho...

MORRISON APIGWA ‘STOP’ YANGA, MBELGIJI AWAKA SABABU, ZATAJWA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa anashangazwa na mtindo wa nyota wake Bernad Morisson kuendelea mtindo wake wa kucheza na mpira 'Shibobo'...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS