admin
SIMBA YENYE MAUMIVU YAIFUATA MTIBWA SUGAR YENYE HASIRA
VerifiedMABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba leo wameanza safari kuelekea Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar...
ISHU YA WAAMUZI ITAFUTIWE DAWA MAPEMA, TIMU ZIJIPANGE KIUKWELI
HUKO mtaani wanasema waamuzi hasa wanaochezesha mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ni janga la soka letu.Kelele hizo zimekuja hivi karibuni baada...
GUARDIOLA ISHU YA STERLING, ANAFIKIRIA KINOMA
RAHEEM Sterling nyota wa Manchester City leo atakosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya West Ham.Nyota huyo ameumia nyama za paja na...
MZUNGU WA SIMBA MECHI 10 AMEFUNGWA MABAO NANE, MATOKEO YAKE HAYA...
SVEN Vandernbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amekaa benchi kwenye jumla ya mechi 10 za Ligi Kuu Bara baada ya kurithi mikoba ya Patrick Aussems.Ameshinda...
NCHIMBI ABADILI GIA YANGA
STRAIKA mpya wa Yanga, Ditram Nchimbi, amekuja na wazo jipya katika kuhakikisha mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara anatoka ndani ya kikosi chao, hivyo...
WAWILI WAMPA JEURI KOCHA SIMBA
Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck amefurahia ujio wa viungo wake washambuliaji, Luis Miquissone na Shiza Kichuya akiamini utaiboresha safu yake ya ushambuliaji.Kauli...
TAMKO LINGINE LA SERIKALI LATOLEWA JUU YA SAMATTA NA MBAPPE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempongeza nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta kwa kuweka historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu ya...
BODI YA LIGI KUIFUTIA ADHABU YANGA, ISHU NZIMA IKO NAMNA HII
ZIKIWA zimepita siku kadhaa baada ya Kamati ya Saa 72 kuiadhibu Yanga kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo ya kutumia chumba kisicho rasmi kubadilishia nguo,...