admin
MBINU ALIZOPEWA SAMATTA ILI KUMKERA MOURINHO
WAKATI mshambuliaji wa Aston Villa, Mtanzania, Mbwana Samatta kesho akitarajiwa kucheza dhidi ya Tottenham Hotspur inayofundishwa na Kocha Jose Mourinho, staa huyo amepewa mbinu...
MWAKYEMBE AWAONYA WATANZANIA KUHUSIANA NA SAMATTA – VIDEO
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amesema Watanzania hawana budi kuonesha mapenzi yaliyopitiliza kwa Mtanzania Mbwana Samatta ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya...
MASHABIKI MAN UNITED SIKIENI HII KUTOKA KWA BOSS WENU
Mkurugenzi wa Manchester United, Ed Woodward amesema anaona nafasi ya kikosi chao kufanya vizuri msimu ujao huku akiamini msimu huu wanaweza kutwaa mataji ya...
VPL : YANGA 0-0 PRISONS
Mapumziko: Yanga 0-0 Tanzania Prisons Uwanja wa TaifaZimeongezwa dakika mbiliDakika ya 44 Morrison anafanya jaribio kali linalompeleka chni mlinda mlango wa Prisons Jeremia KisubiDakika ya...
KOCHA YANGA ASHTUKA, AWABADILISHIA MBINU PRISONS
Akijiandaa kuwavaa wapinzani wake Tanzania Prisons, Kocha Mkuu wa Yanga Mbelgiji Luc Eymael amesema mbinu alizozitumia katika michezo iliyopita waliyokutana hatazitumia tena na badala...
VPL: LIPULI 0-1 SIMBA
Kipindi cha Kwanza: Lipuli 0-1 SimbaUwanja SamoraGooal BoccoDakika ya 31 Paul Ngalema anaonyeshwa kadi ya njanoDakika ya 29 Simba wanapiga kona ya tano inaokolewaDakika...
KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA COASTAL UNION
KIKOSI cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya Coastal Union
SABABU ZA NYOTA WATATU WA YANGA KUIKOSA TANZANIA PRISONS HIZI HAPA
DITRAM Nchimbi, Haruna Niyonzima na Fei Toto wataukosa mchezo wa leo dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa Uwanja Taifa.Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS
Farouk ShikaloAbdul JumaAdeyum SalemanAlly MtoniLamine MoroPappy TshishimbiMohamed BankaMapinduzi BalamaYikpeTariq SeifBernard MorrisonAkibaMetacha MnataJaffary MohamedNgassa MrishoAbdulaziz MakameDeus KasekeKelvin YondaniDavid Molinga