Home Authors Posts by admin

admin

24371 POSTS 9 COMMENTS

KIUNGO SIMBA APEWA NYUMBA UZUNGUNI

0
UWEZO wa Kiungo mshambuliaji wa Simba, Msudan, Sharaf Eldin Shiboub umempa heshima kubwa kwa wadau wa soka la Tanzania.Maujuzi aliyoonyesha kwenye mechi ya Ngao...

KIKOSI CHA MAUAJI YANGA DHIDI YA TOWNSHIO ROLLERS HIKI HAPA

0
Kikosi cha Yanga kitakachocheza dhidi ya Township Rollers leo.

KARIA AJA KAULI KALI KUHUSU NEMBO YA VODACOM, ATAKAYEBADILI RANGI KUPIGWA...

0
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema hakuna timu yoyote itakayoruhusiwa kubadili rangi ya nembo ya mdhamini katika jezi.Kauli hiyo imekuja...

HIZI HAPA 10 KUFUNGULIA LEO VPL

0
LEO Vodacom Premier League inarejea mabapo timu kumi zitashuka uwanjani kuanza kutupa kete zao za kwanza msimu mpya wa mwaka 2019/20Namungo v Ndanda FC...

WABABE WA YANGA WAAHIDI KUANZA LIGI KWA KASI YA 4G

0
TIMU ya Polisi Tanzania, imetamba kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa kesho...

KMC WABADILI GIA ANGANI, SASA MAKALI YAO YAELEKEZWA HUKU

0
JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kwa sasa kikosi kinaelekeza nguvu zake kwenye michezo ya ligi kuu ambayo inaanza leo.Jana KMC ilipoteza...

AZAM FC YAPANIA KUMALIZA BIASHARA UWANJA WA CHAMAZI JUMLAJUMLA

0
LEO Azam FC wana kazi moja tu mbele ya Fasil Kenema ya Ethiopia kutafuta ushindi wa mapema.Huu ni mchezo wa marudiano wa Kombe la...

KAHATA ATANGAZA ATUMA MESEJI MSUMBIJI

0
Wakati kikosi cha Simba, kesho Jumapili kikitarajiwa kushuka uwanjani kucheza dhidi ya UD Songo ya Msumbiji, kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa timu hiyo, Mkenya,...

CAF YAINGILIA HUJUMA YANGA

0
MCHECHETO! Ndivyo utakavyoweza ni baada ya wapinzani wa Yanga, Township Rollers kupeleka maombi kwenye Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuomba kubadilishiwa uwanja kabla ya...

ROLLERS YATUMIA POMBE KUJAZA UWANJA

0
WAPINZANI wa Yanga, Township Rollers kutoka Botswana, watatumia kilevi cha pombe kama kishawishi cha kuwavutia mashabiki wao kujitokeza uwanjani kuisapoti timu yao itakapopambana.Timu hizo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS