admin
SVEN APINDUA UFALME WA MANULA, SASA KAKOLANYA ANAPETA KINOMA
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameonekana kumpa shavu kipa namba mbili Beno Kakolanya huyo kuanza katika michezo sita kati ya michezo kumi ambayo...
MATOKEO MABAYA YAISIKITISHA YANGA, UJUMBE HUU WATUMWA SINGIDA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umesikitishwa na matokeo ya mechi zake mbili zilizopita na kuomba sapoti kwa mashabiki wao.Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu,...
SINGIDA UNITED BANA, YAITANGAZIA HATARI YANGA
UONGOZI wa Singida United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ramadhan Nswanzurimo umesema kuwa hauna mashaka na mchezo wao wa kesho, Januari 22 dhidi ya...
JESHI LA AZAM FC LAKWEA PIPA KUIFUATA MWADUI FC
TIMU ya Azam FC iliyo chini ya Arstica Cioaba, leo imekwea pipa kuelekea mkoani Shinyanga kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya...
EXCLUSIVE!! SAMATTA ATAMBULISHWA ASTON VILLA, AMWAGA WINO WA MIAKA MINNE
Rasmi klabu ya Aston Villa imekamilisha usajili wa straika Mtanzania aliyekuwa ainchezea KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta kwa mkataba wa miaka minne na...
ISHU YA HARMONIZE NA UBUNGE YASABABISHA AWEKWE KIKAANGONI, KILICHOAMULIWA NI HIKI
DAR: Wakati wimbi la wasanii kujitosa kwenye siasa likiendelea, staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ huenda akakwaa kisiki baada ya uongozi wa Chama...
KIONGOZI SIMBA ATOA TAMKO KALI JUU YA KOCHA YANGA KUZUNGUMZIA UBAGUZI
Kufuatia Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael kueleza alibaguliwa na Mwamuzi, Hance Mabena, katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam, Ofisa Habari...
NYOTA YANGA ATUMA MAOMBI YA UVUMILIVU
BEKI ya Yanga, Juma Abdul amewataka wanachama wa klabu hiyo kutulia na kutokatishwa tamaa na matokeo wanayoyapata uwanjani kwa kuwa ndiyo kwanza timu hiyo...
YANGA YAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA
Kocha na mchezaji wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' ameibuka na kusema kuwa Kocha mpya waliyemsajili Yanga, Luc Eymael, anaweza akaipeleka pabaya timu...
WATANZANIA WALIZWA NA DILI LA SAMATTA, WASHANGAZWA NA ASTON VILLA
Ni takribani siku ya tano sasa tangu zilipoibuka tetesi juu ya mshambuliaji wa Genk na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Mbwana Samatta...