Home Authors Posts by admin

admin

24371 POSTS 9 COMMENTS

BABA: HAKUNA STRAIKA WA KUMPITA YONDANI

0
BABA mzazi wa beki wa Yanga, Kelvin Yondani, mzee Patrick Yondani amefunguka kuwa kuelekea msimu mpya hana hofu na kiwango cha kijana wake huyo...

TOTO AKUBALI YAISHE YANGA

0
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum Toto amefunguka kuwa kuongezeka kwa wachezaji katika idara ya kiungo kutamfanya azidishe juhudi ili kuilinda nafasi yake ndani ya...

USIKOSE KESHO GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI UJUE KUHUSU KAMBI YA YANGA...

0
KESHO ndani ya CHAMPIONI Jumamosi kuna kila kitu kuhusu Simba v Azam, kambi ya Yanga huko chanzo cha kichapo ndani

NYOTA WAWILI WA AZAM FC KUIKOSA SIMBA KESHO, ISHU YA KANGWA...

0
KESHO Uwanja wa Taifa hapatoshi, ambapo Simba itamenyana na Azam FC kwenye mchezo wa ngao ya Jamii.Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya ufunguzi...

YANGA YACHOMOLEWA BETRI 2-0 NA POLISI NA TANZANIA MOSHI

0
Kikosi cha Polisi Tanzania kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Ushirika huko Moshi.Yanga imepoteza...

KAKOLANYA AWAPANIA YANGA

0
Kwa jinsi Beno Kakolanya alivyoipania Azam, Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Yanga lazima udenda uwatoke. Simba na Azam FC zitacheza kwenye mchezo wa Ngao...

HATUA YA UWANJA WA SIMBA BUNJU ULIPOFIKIA HUKO BUNJU, MAMBO NI...

0
Hatua ya ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa klabu ya Simba ulipofikia huko Bunju, jijini Dar es Salaam.

PILATO SITA WATANGAZWA KWA KAZI MAALUM KESHO SIMBA NA AZAM NGAO...

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza marefa sita ambao watachezesha mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Azam...

AUSSEMS AIBUA SIRI NZITO SIMBA

0
LICHA ya wengi kuamini kwamba Simba itafanya vizuri msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems...

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA POLISI TANZANIA

0
Ramadhan KabwiliMustafa SelemanGustava SaimonAlly AllyKelvin YondanAbdul MakameMaybin KalengoFeisal SalimDavid MolingaRaphael DaudDeus KasekeAkibaFarouk ShikaloJaffary MohamedSaid JumaJuma AbdulIssa Bigirimana
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS