Home Uncategorized KIPINDI CHA PILI :YANGA0-3 KMC

KIPINDI CHA PILI :YANGA0-3 KMC


Mechi ya kirafiki kati ya Yanga na KMC Uwanja wa Uhuru kwa sasa ni kipindi cha pili.

KMC inaongoza kwa mabao 3-0 ambayo yalifungwa na Sadallah Lipangile dakika ya 31, bao la pili lilipachikwa na Charlse Ilanfya dakika ya 45 na bao la tatu lilifungwa na Hassan Kabunda dakika ya 65 kwa mpira wa adhabu.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mpambano huu wenye burudani za kutosha.

SOMA NA HII  LIVERPOOL INA NAFASI YA KUTWAA TAJI LA ENGLAND, KUNA MPANGO WA KUPUNGUZA DAKIKA 90