admin
MWILI WA MKE WA NAHODHA WA AZAM FC, AGREY MORIS KUPUMZISHWA...
KIKOSI cha Azam FC,leo kilienda nyumbani kwa nahodha wa timu hiyo, Agrey Moris kumfariji baada ya kupata msiba wa kufiwa na mke wake Asteria.Maziko...
MANCHESTER UNITED YATEMBEZA 4G, RASHFORD AKIWASHA
MANCHESTER United leo imewashushia kichapo timu ya Norwich City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa uwanja wa Old Trafford kwa kuichapa mabao 4-0.Mabao...
KIUNGO BORA WA SIMBA SASA KUTUA YANGA
INAELEZWA kuwa Kiungo bora kwa msimu wa mwaka 2018/19 alipokuwa Simba, James Kotei yupo kwenye mazungumzo na Uongozi wa Yanga ili ajiunge na mabingwa...
XAVI KUPEWA DILI LA KUINOA BARCELONA
LENGENDARI wa timu ya Barcelona, Xavi Hernandez inaripotiwa kuwa amepewa dili la kuinoa timu hiyo kwa miaka miwili akichukua nafasi ya Ernesto Valverde ambaye...
TANZIA: MKE WA NAHODHA WA AZAM FC AGREY MORIS ATANGULIA MBELE...
TAARIFA ya Tanzania kutoka kwa Uongozi wa Azam FC leo ipo namna hii:-Azam FC tumepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mke wa Nahodha wetu,...
RASMI SAMATTA AAGA GENK, TIMU ENGLAND YATAJWA
MSHAMBULIAJI wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mtanzania, Mbwana Samatta amewaaga wachezaji na viongozi wa timu hiyo tayari kwa safari yake kwenda kucheza Ligi Kuu...
WACHEZAJI 10 WENYE THAMANI KUBWA ZAIDI DUNIANI KWA SASA
Shirika linalojihusisha na utafiti wa mikatba ya wachezaji na thamani zao katika soko la usajili na hadhi za timu la CIES Football observatory, umetoa...
NAMNA REKODI ZA KOCHA MPYA YANGA ZINAVYOTISHA – VIDEO
Hivi ndivyo rekodi za Kocha Mkuu mpya wa Yanga, Luc Eymael, zinavyozungumza. Kocha huyu ambaye ni raia wa Ubelgiji ametua Yanga kuchukua nafasi ya...
YANGA YAZOMEWA BANDARINI DAR – VIDEO
Kikosi cha Yanga kimewasili jana jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa katika mashindano ya Mapinduzi CUP dhidi ya Mtibwa Sugar.
SIMBA WAMVAA KIPA AZAM FC
Baada ya kuibuka na ushindi wa penati 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa nusu fainali ya Mapinduzi CUP, baadhi ya mashabiki wa...