admin
GWAMBINA FC YAMTENGEA MAMILIONI NYOTA WA YANGA
TIMU ya Gwambina FC ya Mwanza ipo mtaani ikisaka saini ya kiungo wa Yanga Pius Buswita ambaye kwa sasa ni mchezaji huru.Buswita amemaliza mkataba...
TANZANIA PRISONS, KAGERA SUGAR WAIGOMBANIA SAINI YA NYOTA HUYU SIMBA
MOHAMED Rashid 'Mo Rashid' anayekipiga Simba kwa sasa ameziingiza vitani timu nyingi za Ligi Kuu Bara zinazohitaji saini yake ikiwa ni pamoja na Kagera...
KAZI IMEANZA MTIBWA SUGAR, WAINASA SAINI YA NYOTA WA TIMU YA...
MTIBWA Sugar wameanza kazi ya usajili msimu huu baada ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji kutoka African Lyon, Awadh Salum.Salum ni nyota pia ndani...
KAGERA SUGAR: BADO TUPO SOKONI KUSAKA MAJEMBE
MECKY Maxime amesema kuwa kwa sasa tayari amefanikiwa kufanya usajili kwa wachezaji aliokuwa anawahitaji hivyo ni nafasi chache zimebaki.Maxime amesema kuwa msimu ujao anahitaji...
KASSIM KHAMIS, IDDY SULEIMAN WAMPA WAKATI MGUMU NYOTA AZAM FC
KUSAJILIWA kwa nyota wa Mbeya City FC, Iddy Suleiman, Kassim Khamis kutoka Kagera Sugar kumefanya nafasi ya mshambuliaji Mbaraka Yusuph kuwa finyu hali inayowafanya...
YANGA MPYA YANGA ATAJA SIKU YA KUTUA BONGO
FAROUK Shikalo mlinda mlango wa Yanga amesema kuwa kwa sasa hana taabu yoyote kujiunga na mabosi hao anachosubiri ni simu tu atie timu Bongo...
UNITED WANAJIPIGIA TU, INTER MILAN LEO WAKIONA CHA MOTO
MANCHESTER United leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Inter Milan mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Taifa wa Singapore.United imecheza mchezo...
BREAKING: MECHI NNE KALI ZA KIRAFIKI ZA SIMBA AFRIKA KUSINI
KWA sasa Simba ipo Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.Hii hapa ratiba ya mechi za kirafikiJulai 23Simba v Orbret TVETJulai 24Simba...
CHEKI NAMNA MAKUNDI YA AFCON MWAKA 2021 YALIVYO, TANZANIA SAHANI MOJA...
MICHUANO ya Afcon nchini Misri mwaka 2019 imefika tamati na taifa la Allgeria wamebeba ndoo yao kwa mara ya pili baada ya miaka 29...