admin
JPM AWALILIA WAFANYAKAZI 5 WA AZAM TV WALIOFARIKI WAKIELEKEA CHATO
RAIS John Magufuli amemtumia salamu za pole Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa, Said Salim Bakhresa kufuatia vifo vya wafanyakazi watano wa Azam Media vilivyotokea...
JULIO ATOA TAMKO JUU YA AJIBU KUREJEA SIMBA
BAADA ya Ibrahimu Ajibu kusaini Simba, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Jamhuri kihwelo ‘Julio’, amefunguka kuwa hakuna atakayemuweka benchi mchezaji huyo ndani ya Simba.Julio...
KAHATA AANZA NA MIKWARA SIMBA
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili, kiungo mchezeshaji wa Simba raia wa Kenya, Francis Kahata, ametamba kuwa anakuja Msimbazi kucheza na siyo kukaa...
MAJEMBE MAPYA YANGA YAFICHWA HOTELI YA KISHUA
MASTAA wa Yanga kutoka nje ya nchi tayari wameripoti katika timu hiyo na kufikia hoteli ya kishua ya The Atriums iliyopo Africasana jijini Dar...
KINDA WA FULHAM AVIBWAGA VIGOGO MADRID, PSG AITAKA LIVERPOOL
Liverpool wako katika hatua za mwisho kumnasa kinda Harvey Elliot kutoka Fulham.Kinda huyo wa miaka 16 amekuwa kivutio kwa baadhi ya timu.Baadhi ya timu...
TANZIA: SABA WAFARIKI WAKIENDA CHATO, WATANO NI KUTOKA AZAM MEDIA
WATU saba wakiwemo wafanyakazi watano wa kampuni ya Azam Media wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori, uongozi...
LIGI KUU BARA KUANZA KUTIMUA VUMBI AGOSTI, ISHU YA VIPORO YAPATA...
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Boniface Wambura amesema kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza mwezi Agosti 23 mwaka huu na hakutakuwa...
NYOTA WA SIMBA KUTIMKIA SINGIDA UNITED
NYOTA wa Simba, Marcel Kaheza ambaye mkataba wake na AFC Leopards ya Kenya alikokuwa kwa mkopo umemalizika kwa sasa ameingia rada za Singida United...
EXCLUSIVE: PAMOJA NA MATUSI YA AMUNIKE, SAMATTA ALIOKOA JAHAZI YONDANI KURUDI...
Na Saleh Ally aliyekuwa CairoMAKALA haya yalianza jana wakati nilipoelezea hali iliyojitokeza katika kambi ya Taifa Stars jijini Cairo, Misri timu ikiwa huko kushiriki...
ZAHERA AGOMA KUREJEA BONGO, ATIMKIA ULAYA
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga ambaye ni kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Congo amesema kuwa harudi Bongo mpaka akaione familia.Congo imetolewa...