admin
ZAHERA ASHINDWE MWENYEWE TU
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa kwa asilimia 90 umefanikiwa kukamilisha usajili aliokuwa akiutaka Kocha Mwinyi Zahera baada ya kusajiliwa wachezaji aliowapendekeza.Aidha, kabla...
KAHATA WA SIMBA AMECHEMSHA
Kocha wa Kenya, Sebastian Migne amekiri kwamba staa mpya wa Simba, Francis Kahata hakuwa na bahati kwenye Afcon ya msimu huu.Migne amekiri kwamba hata...
JESHI LA SIMBA KUTUA KWA MANDELA
Kocha wa Simba, Patrick Aussems anatua nchini wiki ijayo na timu inakwenda kambini nchini Afrika Kusini.Habari za uhakika zinasema kwamba, Simba ilikuwa na mpango...
AJIBU KUFURU SIMBA, KULIPWA TSH.MIL 1,250,000 KWA WIKI
Lanchi ya juzi haikuwa na raha kwa mashabiki wa Yanga, baada ya Simba kumtambulisha rasmi Ibrahim Ajibu kwamba amerejea Msimbazi.Simba imemfanyia kufuru nahodha huyo...
MUVI YA SIMBA NA OKWI YAJA NA JINGINE JIPYA
Habari za ndani zinasema kwamba Kaizer Chiefs ina asilimia 85 za kumnasa Emmanuel Okwi, lakini Simba wamecharuka na kujipanga kivingine. Simba imeapa kwamba hata...
MZEE AKILIMALI AMCHANA AJIBU, AMUITA KIRUSI
BAADA ya juzi Jumatano, Simba kumtangaza Ibrahim Ajibu kuwa mchezaji wao mpya, Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Ibrahim Akilimali ameibuka na kufunguka...
YANGA WAMTAJA MBADALA WA GADIEL MICHAEL
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna papara na mchezaji wa kikosi hicho Gadiel Michael ambaye amegoma kusaini ndani ya klabu hiyo.Mwenyekiti wa...
NAHODHA WA TIMU YA TAIFA AJIVUNIA UWEZO WA WACHEZAJI WENZAKE
NAHODHA wa timu ya Tanzania, Mbwana Samatta amesema kuwa licha ya kupoteza michezo yote waliyocheza kwenye michuano ya Afcon bado anajivunia uwezo wa wachezaji...
PAUL POGBA AIKAZIA MANCHESTER UNITED, KUOMBA ASEPE ZAKE MSIMU UJAO
IMERIPOTIWA kuwa Paul Pogba kiungo wa Manchester United ana mpango wa kuwaomba mabosi zake wampe ruhusa ya kuondoka ndani ya kikosi hicho kabla hawajafanya...
WALTER BWALYA AIPA TANO SIMBA KWA KAHATA
BAADA ya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba, kiungo Francis Kahata ambaye ametoka timu ya Gormahia mshambuliaji wa Nkana FC, Walter Bwalya...