Home Authors Posts by admin

admin

24628 POSTS 9 COMMENTS

MANARA: STARS HAIWEZI KUCHUKUA UBINGWA – VIDEO

0
Msemaji  wa klabu ya Simba Haji Manara ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya ushindi wa Taifa Stars amesema kuwa Watanzania tuisapoti Timu yetu...

KIUNGO MBAO AWAKATAA YANGA MCHANA KWEUPEE!! – VIDEO

0
KIPINDI cha Spoti Hausi kimeendelea tena hewani ambapo wachambuzi wako wamekuletea mambo mengi, lakini kubwa ni uchambuzi wa kiungo wa Mbao aliyetajwa kuletwa Dar...

KISA HEKARI 15 KWA TAIFA STARS, MAKONDA ATOA ONYO KALI KWA...

0
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameahidi kutoa eneo la hekari 15 kwa shirikisho la soka nchini (TFF) kwa ajili ya...

STARS YAPEWA RAI YA KUCHUKUA KIKOMBE MISRI, LAZIMA IFUATWE

0
AKILI na mawazo ya mashabiki wengi wa soka hapa nchini vyote vimehamia nchini Misri ambako michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inatarajiwa kuanza...

ZAHERA ABADILI UPEPO YANGA

0
BOSI wa benchi la ufundi la Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amewasisitiza viongozi wa timu hiyo kuwapa mikataba mipya kwa haraka wachezaji...

WACHEZAJI SIMBA WAGOMA KISA MPUNGA

0
Baada ya kikosi cha Simba (U20) kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara, imeelezwa kuwa wachezaji wa timu hiyo...

ROSTAM APINGA YANGA KUMILIKIWA NA MTU MMOJA, ASISITIZA LUHUSU SUALA LA...

0
Mwanachama na shabiki maarufu wa klabu ya Yanga, Rostam Aziz leo ametokea hadharani na kusema kswamba haungi mkono klabu yake kumilikiwa na mtu mmoja.Rostam...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS