admin
NYOTA HAWA SABA WAPIGWA CHINI TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inatarajiwa kuanza safari leo kuelekea nchini Misri ambako itaweka kambi kwa ajili ya michuano ya Afcon ambayo...
KOCHA WA KMC ANASUBIRI MASAA TU KWA SASA KUTIMKIA AZAM FC
IMEELEZWA kuwa tayari uongozi wa Azam FC umefikia hatua nzuri ya mazungumzo na kocha wa KMC, Etienne Ndayiragije kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho hivyo anahesabiwa...
RASMI SIMBA YAJIONDOA MICHUANO YA KAGAME
Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC wamejitoa kwenye michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kuanza kutimua vumbi Julai mwaka huu nchini Rwanda. Akizungumza na Saleh...
BEKI WA ZAHERA YANGA MGUU NJE MGUU NDANI
BEKI wa Yanga, Paul Godfery 'Boxer' kipenzi cha Mwinyi Zahera kwa sasa haelewi chochote kinachoendelea juu yake msimu ujao kutokana na kutopewa taarifa zozote...
Safari ya Etiene kwenda Azam imetimia?
Uongozi wa KMC umekiri kuachana na kocha wao Etienne Ndayiragije, baada ya mazungumzo baina ya pande mbili.Taarifa kutoka KMC inasema kulikuwa na...
KMC SASA KUSAJILI WA KIMATAIFA
BAADA ya kikosi cha Manispaa ya Kinondoni, KMC kupata zali la kushiriki michuano ya kimataifa msimu wa mwaka 2019/20 uongozi umepania kuboresha kikosi kwa...
KUMEKUCHA NAMUNGO, BAADA YA KUIBOMOA ALLIANCE, SASA KUIBOMOA YANGA
BAADA ya Namungo FC kumsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirimana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja imeelezwa kuwa wanaiwinda saini ya mlinda mlango wa...
MUONEKANO WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
HIVI NDIVYO PLUIJM ALIVYOIBUKIA YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa anaogopa kufanya kazi na mzawa kwa kuwa ana mfano hai aliouona kwa kocha wa Azam FC...