admin
SIMBA YAIPELEKA YANGA MDOMONI MWA AL AHLY
KAMA zali tu vifaa vipya ambavyo vitavaa jezi za Yanga msimu ujao vina nafasi kubwa ya kukipiga dhidi ya timu za TP Mazembe na...
Yanga sio ‘viti maalumu’, lakini Simba…
Baada ya taarifa kutoka na kuonyesha kuwa sasa Tanzania itakuwa na timu nne katika mashindano ya CAF, tambwe nyingi zimeenea hadi kupelekea...
RAMADHAN KABWILI BADO HAKIJAELEWEKA YANGA, APATA DILI NJE
MLINDA mlango wa Yanga Ramadhani Kabwili amesema bado hawajafikia muafaka na mabosi wa timu moja nchini Sudan.Akizungumza na Championi Jumatano, Kabwili alisema; “Mkataba wangu...
POLISI TANZANIA YAPANIA KUPAMBANA TPL
UONGOZI wa kikosi cha Polisi Tanzania umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kujipanga kisawasawa kwa ajili ya msimu wao wa kwanza ndani ya...
AZAM FC: HATUJABAHATISHA KUTWAA FA, TULIJIPANGA KIUKWELI
KOCHA wa Azam FC Idd Cheche amesema kuwa haikuwa bahati mbaya wao kutwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho mbele ya Lipuli mchezo uliochezwa uwanja...
SALAMBA AAMUA KUFUNGUKA, ATOA MSIMAMO WAKE SIMBA
Mshambuliaji wa Simba, Adam Salamba atabakia klabuni hapo kwa msimu ujao endapo kocha wake Patrick Aussems atamhitaji. Ingawa kwa hali ilivyo ni asilimia ndogo.Salamba...
MAVUGO NA YANGA MAMBO SAAAAAFII
IMEFAHAMIKA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Napsa Stars FC ya nchini Zambia, Laudit Mavugo...
HAJI MANARA AWACHANA YANGA, ASEMA SIMBA NDIYO IMEWAPELEKA CAF CHAMPIONS LEAGUE
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kuhusiana na kutoka kwa nafasi nne kwa timu za Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa Nafasi hizo zimetolewa...
UONGOZI SIMBA WATOA TAMKO JUU YA YANGA KUWA MOJA YA TIMU...
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi katika klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Tyry Again' amesema ni faraja kubwa kwa Tanzania kupata timu nne zitakazoshiriki mashindano...