Home Authors Posts by admin

admin

22325 POSTS 5 COMMENTS

BAADA YA SIMBA NA YANGA KUSMHINDWA…WAARABU WA MAFUTA KUMNG’OA BRUNO SINGIDA…

0
ACHANA na ushindi wa bao 1-0 ambao Singida Big Stars iliupata dhidi ya Future FC ya Misri katika mchezo wa awali wa kwenye Kombe...

FT:SIMBA 3-0 COASTAL UNION….’KOMBINESHENI’ YA CHAMA NA MIQUISSONE MHH…!!

0
Mshambuliaji wa Simba Jean Baleke amefunga hat trick katika ushindi wa 3-0  dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa...

MFAHAMU GAVI MCHEZAJI ALIYECHEZA MECHI NYINGI ZA KIMASHINDANO KULIKO UMRI WAKE….

0
Anaitwa Pablo Martín Páez Gavira, anayejulikana vizuri kama Gavi, sasa ni mchezaji wa kutegemewa katika kikosi cha Barcelona na amecheza mechi Zaidi ya 100...

MERIDIANBET YAMULIKA MAISHA YA WATU WASIOONA….!!

0
Maisha ya binadamu yamejaa mambo mengi sana, kuna mengi ya kidunia unaweza kupitia ukajiona hauna thamani tena kwa jamii, lakini uwepo wa Meridianbet umekuwa...

BAADA YA KUWAVURUGA MAZIMA RWANDA….YANGA WAIPOTEZEA ‘KIMTINDO’ AL MERRIKH…

0
Uongozi wa Young Africans umewapotezea kimtindo wapinzani wao AI Merrikh kuelekea kwenye mchezo wao wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...

JINA LA CHAMA LANUKIA CAF….ISHU NZIMA INATEGEMEANA NA MAISHA YAKE NA...

0
Mabao mawili aliyofunga dhidi ya Power Dynamos huko Zambia, yamemfanya Clatous Chama azidi kuinyemelea rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi...

MCHAMBUZI: YANGA WAHAJAFANIKIWA KIMATAIFA….LABDA SIMBA KWA KUWA WANA NGAO …

0
Mchambuzi wa soka nchini, Farhan Kihamu amesema Yanga SC kufika fainali ya Shirikisho Afrika si mafanikio. Amesema hata Simba SC nao hawajafanikiwa kwenye soko la...

NAMNA MTZ NOVATUS MIROSHI ALIVYOKICHAFUA JANA LIGI YA MABINGWA ULAYA…

0
Kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Novatus Dismas Miroshi usiku wa jana amecheza kwa dakika zote 90 timu yake, FC Shakhtar Donetsk y Ukraine ikichapwa...

MCHAMBUZI:- KAPOMBE NA TSHABALALA WAMECHOKA MNOO…DUCHU HAMNA KITU MULE…

0
Mchambuzi wa Wasafi FM, Hans Rafael amesema kuwa Klabu ya Simba wanatakiwa kuwapumzisha mabeki wao wa pembeni, Mohammed Hussein Zimbwe'Tshabalala' na Shomari Kapombe kwani...

SAFARI YA NOVATUS ULAYA HAIKUWA KINYONGE….

0
Baada ya Mbwana Samatta na Sunday Manara kuandika rekodi ya kucheza Uefa Champions League ambapo Samatta alifanikiwa kuifunga Liverpool ya Jurgen Klopp, huenda isiwe...