admin
HII HAPA LALA SALAMA YA SIMBA KIMATAIFA..WAKITAKA KUTOBOA WANAPASWA KUZINGATIA HAYA..
Upepo unavuma lakini hakuna ajuaye unatokea upande gani na unagotea upande upi. Bado haujaelewa basi fahamu tu kuwa kesho Jumanne itafahamika kuhusu mwendo wa...
KUELEKEA MECHI NA VIPERS…KIEMBA IBUA ISHU YA OKRAH…AIPA TAHADHARI SIMBA…
Wakati Simba wakijiandaa kuivaa Vipers leo Machi 7 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba inahitaji...
BAADA YA KUWA NNJE MUDA MREFU…MORRISON ALIANZISHA UPYA YANGA…
Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Yanga, Bernard Morrison ameanza mazoezi na wenzake mara baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yanamkabili.
Licha ya kupona majeraha yake ila...
KABLA YA MECHI HAIJACHEZWA…MAPEMA TU…KAPOMBE ATANGULIZA SIMBA MBELE YA VIPERS…
Beki wa Kulia wa Simba SC Shomari Kapombe amesema wapo tayari kwa mchezo wa leo Jumanne (Machi 07) dhidi ya Vipers SC, utakaopigwa Uwanja...
BAADA YA KUONA YANGA NA TFF KAMA WANAMZINGUA..FEI TOTO AKODI WAKILI...
Kiungo wa Yanga SC, Feisal Salum ‘Feitoto’ ametinga tena kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania TFF akiwa na Mwanasheria aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda...
PAMOJA NA TFF KUTOA MAAMUZI….YANGA WAMLIMA BARUA NZITO FEI TOTO…MSIMAMO WAO...
Yanga imesema imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuhusu suala la Mchezaji Feisal Salum ambapo baada ya kupokea...
AHMED ALLY: VIPERS WATAJUTA KUJA KUCHEZA NA SIMBA DAR…..MOTO UTAWAHUSU…
Uongozi wa Klabu ya Simba SC umeweka wazi kuwa mara baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wakiwa nyumbani katika Uwanja wa Mkapa dhidi...
MCHAMBUZI: UTEUZI WA MO DEWJI NDANI YA SIMBA NI BATILI…KATIBA HAITAMBUI...
Mchambuzi Abdulaziz Mrisho akizungumzia uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC uliofanywa na mwekezaji Mohammed Dewji kupitia TBC amesema hakuna kifungu Kisheria...
WIKI YA UEFA IMERUDI TENA…KWANGUA MAMILIONI YA MERIDIANBET KWA ODDS HIZI...
The wait its over! Mbivu na mbichi kujulikana ni timu gani itafuzu hatua ya robo fainali ya UCL, ni mechi za marudiano zikikwa zimepewa...
KOCHA WA CHELSEA AMUITA MUSONDA….MAYELE AKUMBUKWA DR CONGO…DIARRA NAYE NDANI…
Straika wa Yanga, Kennedy Musonda na kipa Djigui Diarra wameongeza idadi ya wachezaji wa Young Africans walioitwa kwenye timu zao za taifa.
Avram Grant ambaye...