Home Authors Posts by admin

admin

25147 POSTS 9 COMMENTS

KOCHA VIPERS:- TUTATUMBIA MBINU ZA RAJA KUIMALIZA SIMBA KWA MKAPA…LAZIMA TUWAUMIZE..

0
Vipers muda wowote asubuhi hii watatua Dar kuja kuwakabili Simba SC, mchezo wa mzunguko wa nne, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Vipers walipoteza...

MBRAZILI WA VIPERS AINGIWA NA UBARIDI NA ‘VIBE’ LA SIMBA KWA...

0
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka nchini Uganda Vipers SC Roberto Luiz Bianch Pelliser amesema kikosi chake kitacheza dhidi ya Simba SC katika mchezo...

AHMED ALLY ;- IWE JUA IWE MVUA SIMBA KESHO LAZIMA KIELEWEKE….

0
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema hakuna jambo jingine wanalihitaji kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Vipers SC ya Uganda...

KUHUSU YANGA KUSAJILI KIFAA CHA REAL BAMAKO…UKWELI UKO HIVI…MORRISON MGUU NDANI...

0
Uongozi wa Klabu ya Yanga SC umeanza Mchakato mapema wa kutafuta wabadala wa Mawinga wa Kimataifa wa Klabu hiyo,Tuisila Kisinda na Bernard Morrison ambapo...

KISA TFF….EDO KUMWEMBE AIVAA YANGA SAKATA LA FEI TOTO…AWATAKA WATAJE BEI...

0
Baada ya TFF kutupilia mbali mapitio ya hukumu ya Mchezaji wa Yanga Feisal Salum "Fei Toto" na maamuzi ya awali kubaki na uhalali wa...

HIVI NDIVYO YANGA WANAVYOITAFUTA REKODI AFRIKA….MECHI NA BAMAKO KUTOA HATMA YAO…

0
Matokeo ya sare ya bao 1-1, iliyoyapata Yanga Jumapili iliyopita nchini Mali mbele ya vigogo wa nchi hiyo, Real Bamako yamekuwa ya aina yake...

RAGE: FEI TOTO KAKOSEA…KAMA ALIKUWA ANAKULA UGALI NA SUKARI..ALIPATA WAPI MIL...

0
Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Ismail Aden Rage ameingilia kati sakata la Kiugo kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum ‘Fei Toto’, huku akimtaka kumuweka...

SIKU CHACHE BAADA YA KULA KIAPO MBELE YA RAIS SAMIA…SIMBA WAMUWAHI...

0
Klabu ya Simba imemualika Mhe Hamis Mwinjuma ( Mwana FA) ambaye ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwa mgeni rasmi kwenye mechi...

BAADA YA YANGA KUWAIGA KILA JAMBO….SIMBA WAJA NA HILI JIPYA KUHUSU...

0
Simba SC imebadili staili ya kuhamasisha mashabiki wake kuelekea mchezo wao wa Kimataifa dhidi ya Vipers SC utakaochezwa Jumanne ijayo, Marchi 7, 2023 katika...

MASTAA SIMBA WAFUNGIWA KUIWINDA VIPERS ….VIGOGO WAPANIA KUMALIZA KAZI MAPEMA….

0
Wekundu wa Msimbazi Simba SC,  wameingia rasmi kambini kuwawinda Vipers wa Uganda mchezo wa marudiano wa Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika. Simba wanatarajia...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS