admin
MOHAMED SALAH ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA UINGEREZA…RONALDO CHALIII…
Mshambuliaji wa Klabu ya Liverpool raia wa Misri Mohamed Salah ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligi Kuu ya Uingereza kutosha kwa...
MANARA: WACHEZAJI WENGI WAKIBONGO HAWAJITAMBUI…MORRISON NI HATARI..ANAWEZA KUTUFUNGA…
Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amesema kumekuwa na tatizo la wachezaji wa kitanzania kutojitambua.Manara amedai kuwa wachezaji wengi hasa wazawa wamekuwa hawajitambui...
HENOCK INONGA BAKA ATAJWA BEKI BORA MSIMU HUU…AMIMINIWA MISIFA KAMA YOTE…
Mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Daruweshi Saliboko amemtaja beki wa Simba, Henock Inonga Baka kuwa ndio Beki Bora msimu huu;“Kwa mtazamo wangu ukiniambia nitaje beki...
BUMBULI : SIMBA WANA ROHO MBAYA….HAWAZUNGUMZI CHOCHOTE…WANAONA TUTAPATA PESA NYINGI…
Ikiwa kesho April 30 Vigogo katika Soka la Tanzania Yanga watakutana na Simba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 11 jioni mchezo...
MANARA AWAUMBUA WANAOMSHAMBULIA KUVAA JEZI YA ORLANDO…ADAI MKUDE MBONA ALIVAA..?
Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema sio yeye tu aliyevaa jezi ya Orlando Pirates, hadi Mchezaji wa Simba (aliyemuita fundi ) Jonas Mkude amevaa...
KAMA UNAMPANGO WA KWENDA UWANJANI KESHO HILI LINAKUHUSU…LA SIVYO UTAZUIWA GETINI….
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishana Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Jumanne Muriro amewatoa hofu Mashabiki wa Soka wa...
KUELEKEA MECHI YA KESHO…SHEIKH MNGAZIJA AFICHUA HAYA KUHUSU AFYA ZA WACHEZAJI...
Daktari Mkuu wa kikosi cha Young Africans Sheikh Mngazija amesema wachezaji wote wa klabu hiyo wapo sawa kiafya na wanaendelea na maandalizi ya mchezo...
‘SURE BOY’ APEWA ONYO KALI MECHI YA KESHO DHIDI YA...
Baba Mzazi wa Kiungo wa Young Africans Salum Abubakar ‘Sure Boy’ amemtakia kila la kheri mwanawe kuelekea mchezo wa kesho Jumamosi (April 30) dhidi...
DEWJI ANUSA KIPIGO MECHI YA KESHO…ADAI NI ZOEZI GUMU SANA…AIMWAGIA YANGA...
Aliyewahi kuwa Mfadhili wa Klabu ya Simba SC Azim Dewji amesema mchezo wa Watani wa JADI kati ya Young Africans na Simba SC hautabiriki,...
KUELEKEA MECHI YA KESHO…BOCCO AZINDUKA …AHMED ALLY AFUNGUKA JINSI ATAKAVYOTUMIWA….
MSHAMBULIAJI na Nahodha wa Simba, John Bocco, anatarajiwa kuiongoza safu ya ushambuliaji ya timu hiyo kuelekea Kariakoo Dabi.Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha timu kongwe hapa...