admin
NABI ATAMBA KUJA KIVINGINE DHIDI YA SIMBA…REFA WA YANGA vs SIMBA...
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti leo Jumanne.
KUELEKEA MECHI NA SIMBA..KAZE AVUNJA UKIMYA YANGA….JULIO AKUBALI YAISHE..ADAI YANGA NI...
Yanga imejihakikishia kuivaa Simba katika mchezo wa Aprili 30 ikiwa kileleni mwa msimamo kwa pointi 13 dhidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili.Ushindi wa...
KISA GOLI LA ORLANDO JANA…EDO KUMWEMBE ADAI AFRIKA IMESHINDWA KUITUMIA VAR…INAPUUZWA…
Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania Edo Kumwembe amesema kuna ulazima Michezo ya Soka la Afrika ikachezwa bila usaidizi wa Teknolojia ya kumsaidia Mwamuzi (VAR),...
KUELEKEA MECHI YA KARIAKOO DABI…MANARA AWACHIMBA MKWARA WA KIMASAI SIMBA…
Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amesema klabu yake inakusudia kujaza uwanja wa Mkapa kwa angalau robo tatu ya mashabiki watakaojitokeza kuutazamana mchezo...
NABI AIPUUZA SIMBA….AKACHA MAANDALIZI YA DABI…ARINGIA UBORA WA KIKOSI…
Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nabi amesema hawana kipya sana cha kujiandaa kwa ajili ya mchezo dhidi ya Simba kwani maandalizi yalishafanyika katika mechi...
MANARA AITOA YANGA KWENYE MBIO ZA UBINGWA…AWAPA ‘MAKAVU LIVE’ MASHABIKI WAO…
MSEMAJI wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema licha ya timu yao kuongoza Ligi mpaka sasa bado hajipi nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa.Yanga wanaongoza...
KUELEKEA MECHI NA SIMBA..NABI AJIKUTA AKICHEKA CHEKA MWENYEWE KISA FEI TOTO...
Kocha Mkuu wa Young Africans Nasreddine Nabi amejivunia kikosi chake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba SC kwa kusema wapo...
BAADA YA KUONA YANGA WANAMZENGEA ZENGEA SANA…KIYOVU WATAKA MIL400 KUMUUZA BIGIRIMANA…
Klabu ya Young Africans imetakiwa kutenga Dau la Dola Laki Mbili ($200,000) ambazo ni zaidi ya milioni 400 za Kitanzania, endapo watahitaji huduma ya...
BAADA YA KUFURUSHWA JANA….KINYOONGEEE SIMBA WAANZA SAFARI YA KURUDI BONGO ..SAKHO...
Kikosi cha Simba SC kimeanza Safari ya kurejea nchini kutokea Afrika ya kusini walikokwenda kwa ajili ya mchezo wa pili, Robo Fainali Kombe la...
KISA SIMBA KUTOLEWA CAF…AHMED ALLY ‘ALIA KWA UCHUNGU’…ADAI INAUMA…”HATUJAPIGA HATUA”…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Ahmed Ally ameendelea kuamini kikosi cha klabu hiyo kimepiga hatua kubwa...