Home Authors Posts by Marce Ben Komba

Marce Ben Komba

792 POSTS 0 COMMENTS
Content Creator | Web Specialist Certified by Google | Digital Marketing Officer Certified by Google | Creative Graphic Designer Certified by California institute of the arts | SEO Expert Certified by Hubspot Contact marcekomba@gmail.com

UHURU SELEMAN:- MNAMPAMBA LOMALISA NI BEKI WA KAWAIDA SANA…MADOGO ACHENI USELA

0
Mchezaji wa zamani Klabu ya Simba, Uhuru Seleman Mwambungu amesema kuwa beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa ni beki wa kawaida sana tofauti...

AZAM FC YAVUTA KITASA HICHI KIPYA…KWA BEKI HUYU MJIPANGE…ATAMBA MASHINDANO YA...

0
Azam FC imefikia makubaliano ya kumnunua beki wa kimataifa wa Mali, Yoro Mamadou Diaby, kutoka Kituo cha Soka cha Yeleen Olympique cha nchini humo. Mlinzi...

WAKILI YANGA:- “SIMBA INA WACHEZAJI WALIOZOEA KUMKABA RONALDO…AMEFUNGUKA HAYA

0
Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga, Wakili Simon Patrick amewataka mashabiki wa timu hiyo wasiwachukulie poa watani zao Simba Sc kwani wana kikosi bora licha...

MSECHU:- SIMBA WAKIIFUNGA YANGA MNITTE PENDO…AWAPA TAHADHARI HII MASHABIKI WA MSIMBAZI

0
Msanii wa Bongo Fleva na msanii maarufu wa Bongo Fleva, Peter Msechu amesema kuwa iwapo kikosi cha Yanga kitafungwa kesho dhidi ya watani wao...

MERIDIANBET:BURUDIKA NA MECHI ZA IJUMAA YA LEO

0
Ijumaa ya leo mechi zinaendelea kote na wewe kama unataka kuwa mshindi, ingia meridianbet usuke mkeka wako haraka na ubashiri kwa usahihi ujiweke kwenye...

DIARRA ANA UGOMVI GANI NA KIBU DENNS?…INSPECTOR HAROUN AFUNGUKA HAYA

0
Miongoni mwa makipa mahiri Afrika kwa sasa ni Djigui Diarra anayeidakia Yanga na timu ya taifa ya Mali akisifika kwa ubora wa kuanzisha mashambulizi, pia...

YALIYOJIRI TFF A-Z SAKALA LA DUBE NA AZAM FC…ALIINGIA ANACHEKA AMETOKA...

0
Mshambuliaji wa Kimataifa kutoka Zimbabwe, Prince Dube aliyeonekana kuwa na tabasamu usoni shauri lake dhidi ya waajiri wake limesikilizwa leo, Alhamisi na Kamati ya Sheria...

JOTO LA KARIAKOO DABI LAPANDA…YANGA WAPIGA MKWARA HUU MZITO…AMEFUNGUKA HAYA

0
Joto la Kariakoo Dabi linazidi kupanda ikiwa ni siku nne kwa sasa zinahesabiki kabla ya mchezo huo kuchezwa Uwanja wa Mkapa na kila timu...

MZIZE KUONDOKA YANGA…TIMU HII YA EPL YAWANIA SAINI YAKE…ZAHERA AINGILIA KATI

0
Kocha Mkuu wa Namungo FC, Mwinyi Zahera amesema kuwa iwapo mshambuliaji kinda wa Yanga SC, Clement Mzize amepata dili la kwenda Ulaya ni vyema...

MANDONGA:- “NAONA WAZI SIMBA IMECHOKA…AFANYA UTABIRI HUU WA MATOKEO

0
Karim Mandonga amefunguka kuwa yeye ni shabiki wa kutupwa wa Klabu ya Yanga SC na kuelekea mchezo wa Jumamosi dhidi ya Simba Sc kuwa utakuwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS