Marce Ben Komba
CHAMA NA INONGA…WAINGIA KWENYE MTEGO WA RAJA CA
HENOCK Inonga na Clatous Chama ndio majina ambayo yatajwa huko Morocco ambako Wekundu wa Msimbazi, Simba watatua muda wowote kwa ajili ya kumaliza kibarua...
MAPYA YAIBUKA YANGA…VITA VIPYA VIMEANZISHWA…ISHU NZIMA HII HAPA
Wakati mashabiki wa Yanga wakiendelea kufurahia ujio wa beki wao Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ kuna vita mpya mbili vimeanzishwa na ‘kitasa’ hicho katika vikosi viwili...
KOCHA YANGA “MNATAKA KUMUONA MORISSON?…MTAMUONA ATAKAPOFUNGA
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema katika mchezo dhidi ya TP Mazembe atamtumia winga wake Bernard Morisson ambae amekuwa nje ya Uwanja kwa...
SIMBA KUFANYIWA FIGISU MOROCCO…WAPEWA RATIBA HII NGUMU…MECHI DHIDI YA RAJA CA
Kikosi cha Simba kimeondoka nchini leo majira ya saa 11:00 asubuhi kuelekea Morocco tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca ambao utakuwa wa mwisho...
HII HAPA DROO YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA…SIMBA ATAKIPIGA NA…?
Shirikisho la Mpira Barani Afrika CAF limetangaza kuwa Droo ya
Robo Fainali ya CAF Msimu wa 2022/2023 ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho...
MABOSI YANGA WAFANYA MATUSI…MECHI YA YANGA VS TP MAZEMBE…GSM ATANGULIA KUMALIZA...
Katika kuonyesha kuwa Yanga inahitaji ushindi katika mchezo wao wa ugenini dhidi ya TP Mazembe msafara wao umewajumuisha watu wazito watano wa juu katika...
YANGA YAFANYA USAJILI HUU…MAYELE AFICHUA SIRI JANGWANI…BOCCO AMVUTA KIUNGO HUYYU MPYA...
March 30, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
NABI ATANGAZA HALI YA HATARI…SILAHA ZA KUTISHA ZAIDI ZANOLEWA…ISHU NZIMA IKO...
Jeshi la Kocha Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi juzi liliingia kambini tayari kwa mchezo wa mwisho wa makundi wa Kombe la Shirkisho Afrika...
SIMBA NA YANGA ZAONGOZA…MIGOGORO YA KIMKATABA…NA WACHEZAJI/WATUMISHI WAKE
KAMA ulidhani sakata la kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' kuingia kwenye mgogoro wa kimkataba na Yanga ni jipya, sahau.
Kwenye soka la Tanzania katika miaka...
YANGA KUFANYIWA SAPRAIZI HII…HAIJAWAHI TOKEA BONGO…MABOSI WAPAGAWA
MWANZA. WAKATI Yanga ikikabiliwa na ratiba ngumu ya mechi za Ligi Kuu, Shirikisho (ASFC) na Kombe la Shirikisho Afrika, wapinzani wao Kagera Sugar watakabiliana...