Marce Ben Komba
CHAMA AWACHAMBUA WACHAMBUZI WA SOKA…MFUNGAJI BORA WA MUDA WOTE CAF
KILA shetani na mbuyu wake bwana na mbuyu wa Simba ni yule kiungo wao kutoka Zambia, Clatous Chota Chama ama ukipenda muite Triple C...
YACOUBA AWAPIGA KIJEMBE SIMBA…”TUTAWAPIGA HADI HAO WANAOJIITA SIMBA
ILIANZA Yanga. Ilisafiri hadi Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya kucheza na Ihefu katika mechi ya Ligi Kuu Bara ikiwa haijapoteza mechi 49, ikalala mabao...
USAJILI WA SIMBA WASHTUA…KOCHA MPYA ASHIKILIA MAFAILI YA MASTAA HAWA
KOCHA Mkuu wa Simba Robert Oliveira ‘Robertinho’ anachofanya kwa sasa kwa kila mchezo anaocheza uwe wa kimataifa au wa ndani anakuwa na kazi nyingine...
MAMA SAMIA AMWAGA MANOTI TAIFA STARS…MASTAA WAPAGAWA
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila goli ambalo Taifa Stars itafunga katika michuano ya kufuzu fainali...
YANGA SC YATOA WAWILI KIKOSI BORA SHIRIKISHO
Mlinzi wa kushoto wa Yanga Joyce Lomalisa ameendelea kuwa bora kutokana na kiwango bora anachoonyesha katika kikosi cha Yanga.
Kwa sasa unaweza kusema Lomalisa ndiye...
MAGAZETI: SIMBA MWENDO WA DOZI TU…YANGA KUVUSHWA NUSU FAINALI NA KOCHA...
March 25, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
MAGAZETI: HIKI HAPA CHUMA KIPYA CHA SIMBA…YANGA YAANDAA KIPA WA PENATI
March 25, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
MAYELE NA INONGA WAPIGWA BENCHI…TIMU YA TAIFA YA CONGO
Timu ya Taifa ya Congo inashuka Dimbani kujaribu kuibua matumaini ya kufuzu kwa Michuano ya AFCON2023.
Congo ambao tayari wamecheza michezo miwili katika Kundi I,...
HIKI HAPA KIKOSI CHA TAIFA STARS MECHI DHIDI YA UGANDA
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" kinashuka dimbani katika Uwanja wa Suez Canal katika mji wa Ismailia
kuwakabili Timu ya Taifa ya...
WACHEZAJI TAIFA STARS WATOA TAMKO HILI
Wakati Taifa Stars ikiwa kwenye maandalizi ya mwisho huko Misri kwa ajili ya mchezo wa leo, Ijumaa wa kuwania nafasi ya kufuzu kwa fainali...