Marce Ben Komba
CHAMA:- KUFIKA ROBO FAINALI ILIKUWA LAZIMA…TUMEELEKEZA NGUVU HATUA INAYOFUATA
Baada ya kutinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika mastaa wa Simba wamekula kiapo kuhakikisha wanafanya vizuri zaidi hatua inayofuata ili kuendelea...
KOCHA SIMBA SHANGWE TU…KAPOMBE NA TSHABALALA KUACHWA TAIFA STARS
Kitendo cha mabeki tegemeo wa Simba, Shomari Kapombe na Mohamed Hussein Tshabalala' kutojumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars dhidi...
AZAM FC YATISHIWA USALAMA…MECHI DHIDI YA GOR MAHIA KUSITISHWA
Klabu ya Azam FC imesitisha safari yake ya Kenya kwenda kucheza na Gor Mahia Jumapili hii, kutokana na sababu za kiusalama.
Azam FC, mabingwa wa...
FEISAL SALUM “FEI TOTO” KUREJEA YANGA…MARA BAADA YA KUMALIZA MAJUKUMU YA...
Kama ulikuwa hujui basi nikujuze kuwa suala la kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' na klabu yake ya Yanga halijakwisha na litaisha pale tu mchezaji...
YANGA SC YAISHANGAZA CAF…YAPANDA VIWANGO KWA NAFASI 48…YAACHA WATU MIDOMO WAZI
Habari njema kwa mashabiki wa Yanga ni timu hiyo kupanda nafasi za ubora kwa timu za Afrika mara baada ya kutinga robo fainali ya...
AZAM FC WAGOMEA MAKOCHA WABONGO…IBENGE KUMWAGA WINO
Wakati Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya
atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa...
HAWA HAPA MASTAA WA SIMBA…WANAOOGOPWA ZAIDI LIGI YA MABINGWA(CAF)
Mabao mawili mawili yaliyofungwa na Jean Baleke na Sadio Kanoute wa Simba yamewaingia kwenye anga za mastaa wengine wa
michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
HAKUNA WA KUMGUSA CHAMA LIGI YA MABINGWA…TAKWIMU ZAKE ZINATISHA
Clatous Chama mwamba wa Lusaka kwenye mashindano ya kimataifa anafanya vizuri ikiwa ni nembo kwa wazawa kushtuka na kuiga namna anavyofanikiwa.
Anaingia kwenye orodha ya...
MOHAMED HUSSEIN NA KIBU…WAPIGWA CHINI MECHI NA RAJA CASABLANCA
Mlinzi wa Simba, Mohammed Hussein 'Zimbwe' na Kibu Denis watakosa mechi ya mwisho ya Simba ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
TAIFA STARS KUPAMBANA KUFA KUPONA…WAAPA KUWAUA UGANDA
Baada ya kuanza rasmi kambi ya kujiandaa na mchezo wao wa kusaka tiketi ya kufuzu mashindano ya AFCON, mastaa wa kikosi cha timu ya...