Marce Ben Komba
WACHEZAJI TP MAZEMBE WAKATWA MISHAHARA…KWA KUSHINDWA KUVUKA MAKUNDI
Asiyefanya kazi na asile. Ndicho ambacho Bilionea Moise Katumbi ameamua kwa mastaa wake, watakatwa mishahara yao kwa asilimia 25 kwa Kushindwa kuvuka hatua ya...
AZAM FC HII SASA KOMOA…WAJITAYARISHA KUIVAA GOR MAHIA
Kikosi cha Azam FC kitacheza mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Gor Mahia FC ya Kenya, kwa ajili ya kujiandaa na Michezo ya...
SIMBA NA YANGA ZAIPANDISHA VIWANGO TANZANIA KISOKA…YAPANDA NAFASI TATU CHAP
Baada ya Klabu ya Simba SC kuifunga timu ya Horoya AC kwa bao 7-0 na kufanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa...
MOLOKO NI ZAIDI YA AZIZ KI…WANA YANGA HAWAMPI HESHIMA..ANACHANGIA SANA USHINDI
Jesus Ducapel Moloko ni mchezaji ambaye hapewi heshima na sifa inayomstahili kwenye soka la Bongo.
Anachukuliwa poa sana lakini mchango wake kwenye mafanikio ya Yanga...
SILAHA ZA TAIFA STARS SAFARINI…WAIFATA TIMU NCHINI MISRI
Wachezaji wa Tanzania wanaocheza Ubelgiji, kutoka kulia Mbwana Samatta (KRC Genk), Novatos Dismass (Zulte Weregem) na Kelvin John (KRC Genk)
wameanza safari kwenda nchini...
ALI KAMWE:_ STRAIKA WAO ANAPIGA KICHWA KAMA KONDOO…YANGA VS US MONASTIR...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kikosi cha timu hiyo kimetoa somo namna ya kuzifunga timu kutoka Kaskazini...
KOCHA GEITA GOLD:- WALETENI HAO YANGA…TUNAAPA KULIPA KISASI
BAADA ya kupangwa na Yanga, kocha mkuu wa Geita Gold, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema kabla ya droo kuchezeshwa alijiandaa kisaikolojia kuikabili timu yoyote atakayopangiwa...
MAYANGA ATENGENEZEWA UFALME MITBWA SUGAR…KOCHA ATHIBITISHA
MSHAMBULIJI wa Mtibwa Sugar, Vitalis Mayanga amesema licha ya kuanza taratibu na kikosi hicho ila mashabiki wake watarajie makubwa zaidi.
Nyota huyo alijiunga na timu...
AZAM FC HAINA KUPOA…TIZI MWANZO MWISHO
KOCHA Mkuu wa Azam, Dani Cadena amesema kikosi hicho hakitakuwa na mapumziko katika kipindi hichi cha michezo ya kimataifa isipokuwa ni kwa wale tu...
LIGI KUU BARA KADI 600 ZATOLEWA…MGUNDA AMKANA KANOUTE…”NAMUONYA SANA HASIKII
LIGI Kuu Bara kwa imesimama kupisha mechi za kimataifa za timu ya taifa, Taifa Stars dhidi ya Uganda The Cranes sambamba na mechi za...