Marce Ben Komba
KOCHA YANGA AMPIGIA SALUTI DIARRA…AONGOZA KWA UOKOAJI SHIRIKISHO
MASTAA wa Yanga hadi sasa wameshavuna kiasi cha zaidi ya Sh 316 milioni kama bonasi ya kufanya vizuri kwenye mechi tatu kati ya nne...
HOROYA AC:- HATUKUJA TANZANIA KUZURURA…MASHABIKI WA SIMBA JIANDAENI KISAIKOLOJIA
Nahodha wa Mabingwa wa Soka nchini Guinea Horoya AC Ocansey Mandela amesema jambo lililowaleta Tanzania ni moja tu, kushinda mchezo dhidi Simba SC, ili...
TANZANIA YATIKISA AFRIKA…SOKA LA BONGO LAPATA HESHIMA CAF
HATUA ya makundi ya mashindano ya klabu Afrika imebakiza raundi mbili ifike tamati na baada ya hapo timu nane zitatinga robo fainali na nyingine nane zitaaga.
...
YANGA SC YASHEREKEA UBINGWA…”SIMBA WATAKIMBIA UWANJANI…WALITUFUNGA MIDOMO
BAADHI ya mashabiki wa Yanga Nyanda za Juu Kusini wamesema wapo kwenye maandalizi ya sherehe za ubingwa wa Ligi Kuu, huku wakitaja mechi dhidi...
SIMBA SC:- TUMELINASA FAILI LA HOROYA…TUNALIFANYIA KAZI…TUNAWAANGALIA KWA JICHO LA TATU
BENCHI la Ufundi la Simba, linatambua kwa sasa timu hiyo ina dakika 90 za kibabe ili kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
MAGAZETI LEO: MCHEZAJI SIMBA AWAFANYIA UMAFIA HOROYA…NABI AWABEBESHA ZIGO LOMALISA,MOLOKO
Habari za Asubuhi Mwanamichezo March 18, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
MAGAZETI: CHAMA AWATOA HOFU MASHABIKI…KOCHA ATAMBA…MAYELE AMTISHIA BEKI WA WAARABU
Good Morning Mwanamichezo mwenzangu March 18, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
MAMAAAA YANGA! YANGA! YANGA!…HIZI HAPA JEZI MPYA ZA YANGA
Club ya Yanga imetambulisha jezi mpya watakazotumia katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2023, Jezi hizo tatu zimebuniwa na Sheria Ngowi na zitapatikana...
HASSAN DILUNGA HATARINI SIMBA…MUDA WOWOTE ANAWEZA KUONDOKA
Yanga walianza kumuuguza mchezaji wao Yacouba Songne ambaye alikuwa na majeraha kwa muda mrefu hadi akapona, akacheza mashindano ya Mapinduzi Cup lakini inaonekana benchi...
MSUVA,SAMATA MGUU PANDE…SILAHA HATARI ZA STARS ZAJIKOKI
Kiungo Mshambuliaji Simon Msuva anayekipiga Al-Qadsiah FC ya Saudi Arabia pamoja na nyota wengine wanaocheza nje ya nchi walioitwa Taifa Stars wanatarajiwa kujiunga na...